mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,017
- 3,037
Ukrain kuna askari wengi wa USA na washirika wake na wanapigika na kupotezwa.Hajapoteza, hata Russia hizo silaha ndogondogo walizopoteza ni sawa na kwamba hawajapoteza. Vipi kuhusu idadi ya kupoteza askari?
Na ndio maana pale mwezi march kuna wakufunzi walipotezwa.
Jana huko UK mkuu wa majeshi karopoka inabidi waandae jeshi litakaloweza kupambana na URUSI.
Hii inamaanisha wapo na wanapokea kisago.