Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Ahahahahhahahaaa heri wanaosadiki bila kuhakiki....

Akili yangu imeniambia utasema nikuhakikishie kama kweli hivyo ndivyo ili usadiki....

Ehehehehehheeee I believe in my instincts..!!

K' Matata Platinum.
 
hahahah mngekutana na the very rare mark X ya 2GR -FSE 3.5 ltr eng hapo ligi ingependeza zaidi
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Ungejaribu na ambazo zinaenda zaidi ya hapo.
By the way kama picha umeipiga mwenyewe na gari iko kwenye huo mwendo uko vizuri...
Na naona dash board yako taa nyingi zinawaka pia ni risk sana
Nishaendesha BMWX6 pia.
 
Tungis kwa sasa kanda ya ziwa hana mpinzani,, hizo kisbo zimebaki jina kwa njia ya mwz-dsm,, anayemfatia Tungi labda Allys, Tungi wanachonifuraisha wako on time,, hawapotez hata mda kabisa,,

Kama huamini jaribu uone,,

Mi nlikuwa mbishi ila kuna siku nikasema ngoja nisafiri nayo nione inakuaje,,

Dodoma stand88 tuliingia saa kumi na dk kama ishirini,, 🍻

Mbona moro saa mbili kasoro ndani ya msamvu,,🍻
Tungi's huwa wako vizuri kutoka Mwanza kwenda Dar. Ila kutoka Dar to Mwanza huwa wanachelewa. Sijui kwa nini?
 
Tungi's huwa wako vizuri kutoka Mwanza kwenda Dar. Ila kutoka Dar to Mwanza huwa wanachelewa. Sijui kwa nini?
niliwahi kuliukiza hili siku moja.
nikaambiwa wapinzani wao inluding kisbo huwa wanatoa mpunga kwa traffic ili tungis adhibitiwe.

matokeo yake huwa anasimamishwa mara kwa mara njiani ili achelewe kungia mwanza.
 
Na mashine yako iwe ya ukweli, na unaofanya nao ligi wawe na mashine nzuri.
Kuna muda uko speed 180km/h, lakini unashangaa kuna mjinga anakuovertake, sio mchezo!!! kwanini mnapenda ligi? [emoji3]
Ligi tamu sana. Unakuta mtu upo na ki-rav 4 chako cha 2006 unashindana na v8. Anakuacha kidogo then baada ya dk 2 huyu hapa.. then wakati nyie mnang'ang'ana kuna mpuuzi na kajibenz kake anaikata v8 kama imesimama.
 
Nazikubali sana Mercedes benz. E class
Sipendi ligi hata nikinunua sitakimbia sana
 
Ligi za barabarani ndio ilikuwa michezo yangu but toka nimeoa na kuwa na familia nimepunguza manake naogopa kupasua nyanya/kupata ajali.....
Hereinbelow is one of my race nikiwa na Crown Athlete....
I was a dumb mthefcker racer...
Hii ist inaweza league kwel
 
Usiombe ukakutana na mnyama Landcruiser..Yani anakupita Kama umesimama
 
Huo ushamba wenu ndio unawaua kila siku! Bongo hakuna barabara ya kuendesha gari zaidi ya Speed 100/hr watu wanalazimisha tuu kukimbiza magari.
Mkuu speed 100 utafika leo..labda useme at least 220 Hadi 140.
 
Ligi za barabarani ndio ilikuwa michezo yangu but toka nimeoa na kuwa na familia nimepunguza manake naogopa kupasua nyanya/kupata ajali.....
Hereinbelow is one of my race nikiwa na Crown Athlete....
I was a dumb mthefcker racer...
Wtffff🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️
Mzinga hapo ni kifo straight
 
Sijui kwanini mtu akikupita unapata mzuka na wewe umpite

Nishafanya ligi moja usiku na altezza
Barabara naijua my daily route muda, sa 6 usiku
Ilibidi nifike 160/170 ili nimuache mbali jamaa ...my gauge ni 180...kushindwa sitakiii alikoma mbona...

Nilisema sitokuja kimbia tena hivii
Sio siri mwendo mkali sio mzuri naishia 120 tu sikuhz
 
Back
Top Bottom