Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Hii ni nzuri.

Naitumia pia. Mnaenda pamoja hata kama kuna shida anarudi kukusaidia chap.

Inakufanya unakuwa active muda wote.
Hata mfumo wa ligi uko hivi hivi mkuu.
 
Ndio ukute uko kwenye uwanja mpana sasa na njia unaijua vizuri.
Kuna siku nilikuwa natoka Shelui kuelekea Misigiri, kuna mshenzi aliniovertake nikiwa kwenye 190km/h.
Alienda kuua Ng'ombe kadhaa, mita chache kabla ya kuanza kushuka Senkeke, speed kali mida ya jioni ya saa kumi na saa kumi na moja, ni hatari sana kwasababu ya mifugo.

Ligi za barabarani ni tamu sana.
Naikubali sana BMW
Dhahabu inapatikana mkuu maana sherui + misigiri ni maeneo ya wachimbaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huwezi kwenda mbali kamanda.
Hicho chombo unakijua lkn mkuu?

Kitu ya 2005 6 gears(manual) 240km/h na hp 240.

Chombo chako bado sana sana mkuu,top speed yako nadhani ni 200km/h,201 hp,4 speed auto na bado weight to body ratio itakugharimu aisee yaani naweza nikawa nakupita nakusubiria nikakupita nikakusubiria tena mpk tunafika tunakoenda hahah.
 
Mkuu tungis agusi kwa ndege ya ardhini kisbo
ilikuwa siku za nyuma sio siku hizi.

juzi kati wakati nasafiri kwenda kanda ya ziwa kisbo alitangulia, akatoka mbiombio pale ubungo terminal ili atengeneze gape kubwa na tungis.

tulipofika maeneo ya gairo, kisbo akachezea za chembe toka kwa tungis. huwezi amini, baada ya pale, kisbo hakumuona tena tungis mpaka tunaingia mwanza saa sita na nusu usiku.

siku ya pili tukapata taarifa kwamba kisbo aliingia mwanza saa nane usiku.
 
Niliwahi kosa kosa ajali ikabidi nipige kingo za chuma kwenye daraja sababu kubwa ni hizo ligi.
Brevis ilokuwa mbele yangu ikachomoa nikachomoa kumfata tanker likatuletea ikabidi nikapige daraja na ndio ilikuwa pona yangu. Tokea siku hiyo sikimbizani na mtu.

Siku ya kurudi nikakutana na Semi ikanipiga fog mara 3 kidogo nizame kwenye mikonge
 
Unamkosi Sana mkuu
 
Ligi tamu kuanzia saa 10 jioni kutafuta kale kagiza cha saa 1 kasoro baba unakutana na V8 flani STK dereva anayejitambua, ligi inakuwa tamu sana. Yeye anaamini v8 inachanja mbuga na 220 yake mnyama BMW unasoma 240 halafu boss wake amelala hahahaha au na yeye anapenda ligi dereva anamwambia kuna mshezi anakuja kasi hapo nyuma unaona boss anachungulia kwenye mirror unaona v8 inaanza kuchanganya 180- 190 anachezea hapo kijana namuashia indicator napita anapagawa.

Mara mbele mteremko sipiti asije akasema nimetumia advantage ya mteremko nasubiria muinuko tunavyoanza kukamata tambarare basi napita.

Mjerumani nyoko sana BMW forever
Hio BMW unayoitumia ni zile e46 318i?
 
Niliwahi kosa kosa ajali ikabidi nipige kingo za chuma kwenye daraja sababu kubwa ni hizo ligi.
Brevis ilokuwa mbele yangu ikachomoa nikachomoa kumfata tanker likatuletea ikabidi nikapige daraja na ndio ilikuwa pona yangu. Tokea siku hiyo sikimbizani na mtu.

Siku ya kurudi nikakutana na Semi ikanipiga fog mara 3 kidogo nizame kwenye mikonge
Mimi 2017 sitaisahau natoka Gairo - Dar kufika Moro ukiwa unaiacha morogoro mjini kuna njia imenyooka sana aisee nikaanza ligi lori mimi na IST mimi mdogo wangu, shemeji yangu na bi mkubwa aisee lori la mafuta BIL aisee niliiga kulifata nyuma aisee jamaa aliwahi kurudi kulia baada ya ku overtake aisee ile siku sitaisahau jamaa aliekua anakuja kwa mbele yangu na fuso hakupunguza mwendo lori nalo liovertake halikupunguza mwendo unakanyaga accelerator hadi chini gari ipo pale pale sijui ilikuaje lakini niliwahi kurudi kushoto nikalichomekea hilo lori nililokua nalipita baada ya jambo lile ilibidi nipaki pembeni nikojoe niliapa sitaanzisha ligi tena...barabarani wala kumfata mtu nyuma akihama na wewe unahama ni hatari sana
 
Back
Top Bottom