DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,237
- 32,070
sauli uhakikalicha ya changamoto za barabarani, kwa upande wa ligi za mabasi ya abiria nasikia kwa sasa anayesumbua route ya dar - mwanza ni tungis express na anayesumbua route ya dar - mbeya ni sauli express. imefika kipindi mpaka watu wanabet kuhusu haya mabasi.
View attachment 1222485View attachment 1222488