PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,203
- 45,640
Hii video imekuwa gumzo na kila MTU ameongea lake Kwa utaalamu wake juu ya magari.
Toyota mark X engine ya 4GR six cylinders imeshindwa kuipita Subaru forester XT engine EJ20. Mwenye mark X yupo kwenye speed 180 na mshale umekopa kabisaa huku RPM ikiwa kwenye 5000p/m .
Wale wataalamu wa magari watupe elimu kidogo hapa kwanini mark X ameshindwa kupindua meza Kwa forester.
Kilasiku huwa nawahusia vijana wa Subaru forester non turbo waachane kabisaa na ligi za barabarani kwasababu magari Yao hayana uwezo