Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Mbona umeanzia katikati mkuu
Unajua kwetu ni wilaya ya Mwanga na hivyo ndio vijiji vyetu!
Sasa nimeona bora kwanza nimsahihishe jina la hicho kijiji kwa kuwa alikosea!
Karibu upareni hususani wilaya ya Mwanga mkuu
 
Subaru ni kelele tu.

Hazina speed ya hatari kama gari za ujerumani.

Gari za kijerumani ni kuwa hazina high speed limiter
Ila subaru nyingi zinazipiga chini kuwa faster, kuna watu wanaweza toa speed limit gar inakuwa noma zaid
Ndo maana ata V8 nyingi unakuta ina 180kmph akat ina uwezo wa kwenda 280kmph
 
nikawa nimempita mbele kabla ya Kisaranga nikaipita na ile Mark x, Alphad sikuiona.

Panaitwa KISANGARA
Asante kwa marekebisho.
Hii route sina uzoefu nayo kivile. Hiyo sehemu kuna hotel inaitwa Kindoroko.
 
Ndio. Hapo ndio kijiji cha matajiri wa mabasi ya Ngorika, Hatco, na mengineyo. Hata hicho kibao ulichoona cha hoteli ya Kindoroko ni ya kwao. Hicho ni kiabo tu, hoteli iko Moshi mjini
 
STI ni kelele tupu.

Nazifahamu, nimeshaendesha.

Labda uzishindanishe na kina Noah.

Hakuna kitu mule.

Ulioendesha ilichoka labda au haikuwa na turbo
IMG_5705.JPG
 
Wakuu, nimezoea sana kutembea safari ndefu haswa Dar-Kahama-Geita na Dar-Mwanza, mara chache Dar-Bukoba.
Mara nyingi napenda kusafiri jioni au asubuhi sana.

Hizo route nilizozitaja hapo juu hazina Magari madogo mengi usiku, zaidi ya malori na mafuso. So huwa hatujui mambo ya ligi kabisa.

Kuna hii route ya Arusha-Dar na ligi huwa inaanzia pale Njia panda ya Himo, wakuu kuna watu wanapenda kushindana sana, kwenye barabara.

Juzi kati hapa tumetoka Arusha kwenda Dar tulivyofika Pale Njia Panda ya Himo, kulikuwa kuna gari kama tatu ndogo, Mark x nyeupe, Murano moja nyeusi na Alphad ya Silver, plan niliyokuwa nayo nikupoteza muda pale Njia Panda, at least usumbufu upungue barabarani kumbe zile gari zilikuwa zinatafuta abiria wa Dar, mimi kwenye gari ninayoendesha tulikuwa watatu. Sikuwa na wazo la kuchukua abiria.

Ilivyofika saa kumi na mbili kama na nusu hivi yule jamaa wa Alphad akang'oa, baada ya kama dakika kumi, Mark X akang'oa.
Hapo nimepaki upande wa pili wa barabara.

Ukapita tena muda kidogo Murano akang'oa...Tukamaliza mambo yetu tukaanza kuondoka, nilijua nikipiga mashine vizuri nitaenda kuwatoa kabla hata hawajafika Same!!
Tumeanza kutembea sio kwa speed kali hiyo jioni jioni ya saa moja bado watu ni wengi barabarani na mibasi + magari makubwa mengi yakitoka Dar kuja Moshi, Arusha.

Haikuchukua dakika nyingi saana kufika Mwanga, nikaiona ile Murano ndio inaondoka, nikajua labda alikuwa anaongezea abiria, nikawa nimempita mbele kabla ya Kisaranga nikaipita na ile Mark x, Alphad sikuiona. Giza linazidi kuongezeka naona na barabara inapungua jam.

Tumepita Lembeni kwenye Kivuko cha treni jamaa wa Mark X akaovertake kwa speed kali kuianza Tambarare flan hivi kuelekea Same, hapo ndio ikawa shughuli hakuniacha mbali sana, kabla ya sehemu inaitwa mgagao Murano akaniovertake akaenda akaovertake na mark x..

Baada ya Murano kunipita nikagundua Mark X kaongeza speed zaidi kwasababu alianza kuniacha kwa mbali kidogo.

Nikagundua hawa watu kama vile wanafanya ligi hapo road, nikaamua na mimi kujihusisha nao, ule mtiti haukuwa wa kawaida Tukaanza kutembea sasa pita nikupite ikaanza, jamaa wa Mark X tulikuwa tunamuacha sana...

Mpinzani wangu mkubwa alikuwa jamaa wa Murano, hadi tunafika Korogwe, kwenye kona yakuelekea Old Korogwe, kuna beria, tukamkuta jamaa wa Alphad pale na gari nyingine ndogo mbili, zote zinaenda Dar, ebwana eeh kama ni ligi ndio ilikuwa kama vile inaanza piga nikupige,

Jamaa walikuwa wanatoa changamoto sana, hata kusinzia huwezi muda wote unawaza kumtangulia aliyeko mbele yako na kutokukubali aliyeko nyuma yako akupite! Huu mfumo ulifanya tukafika Dar mapema sana! Huu utaratibu wa Ligi kwenye hii barabara sijui kama ni wa kila siku, Kuna mashindano sana.

Ni barabara yenye ligi tena matata sana.
Kuna MwanaJf anayependa ligi barabarani, share na sisi.
Ukipiga kibuyu pia uje kuanzisha uzi hapa tujadili
 
Gari zenyewe mnazotumia ni Used more than 20 yrs old, mjapani kajambiaa weeee...nawe huku udereva umejifunzia ukubwani baada ya kuanza kazi na kumaliza Chuo basi unajiona derevaaa..ukifa kwenye ajali ndugu zako wanasema umerogwa kumbe ushamba ndio umekuua
Eti kajambia weeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]

Ukute una kipasso cha 1997[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Wow!! Wanawake wanaopenda ligi barabarani huwa wazuri sana, na wenye umakini mkubwa. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ila hatari jmn haha
Fani za watu hizi nawaachia wataalamu
 
Matuta ni kwikwii

Makongo pale ukielekea mwenge kuna tuta limeharibika
Usiombe ukalivaa usiku

Mkuu ukiwa speed 200km/hr hakikisha mbele barabara ina karibia km 90 bila kona kali au matuta makubwa.
Wadau wa route ya Mwanza kuna tuta liko km chache kabla hujafika Shy town, pale lazima upunguze speed, halivukiki hata kwa 40km/hr
 
Nataman nikuwekee ile picha ya mshikaji wangu na crown yake...
 
Gari za kijerumani ni kuwa hazina high speed limiter
Ila subaru nyingi zinazipiga chini kuwa faster, kuna watu wanaweza toa speed limit gar inakuwa noma zaid
Ndo maana ata V8 nyingi unakuta ina 180kmph akat ina uwezo wa kwenda 280kmph
Unamaanisha odometer ina 180kph ila inaweza kwenda 280kph?

Hows that possible??
 
Tatizo mkuu haujataja aina ya gari lako.

Umeishia kutaja za wenzako tu.

Embu taja na ya kwako tuithamanishe, pia tujadili ni kwanini ulikuwa unaachwaachwa na kutimuliwa vumbi kizembe wakati ulikuwa unaendesha kishindani?
 
Wakuu, nimezoea sana kutembea safari ndefu haswa Dar-Kahama-Geita na Dar-Mwanza, mara chache Dar-Bukoba.
Mara nyingi napenda kusafiri jioni au asubuhi sana.

Hizo route nilizozitaja hapo juu hazina Magari madogo mengi usiku, zaidi ya malori na mafuso. So huwa hatujui mambo ya ligi kabisa.

Kuna hii route ya Arusha-Dar na ligi huwa inaanzia pale Njia panda ya Himo, wakuu kuna watu wanapenda kushindana sana, kwenye barabara.

Juzi kati hapa tumetoka Arusha kwenda Dar tulivyofika Pale Njia Panda ya Himo, kulikuwa kuna gari kama tatu ndogo, Mark x nyeupe, Murano moja nyeusi na Alphad ya Silver, plan niliyokuwa nayo nikupoteza muda pale Njia Panda, at least usumbufu upungue barabarani kumbe zile gari zilikuwa zinatafuta abiria wa Dar, mimi kwenye gari ninayoendesha tulikuwa watatu. Sikuwa na wazo la kuchukua abiria.

Ilivyofika saa kumi na mbili kama na nusu hivi yule jamaa wa Alphad akang'oa, baada ya kama dakika kumi, Mark X akang'oa.
Hapo nimepaki upande wa pili wa barabara.

Ukapita tena muda kidogo Murano akang'oa...Tukamaliza mambo yetu tukaanza kuondoka, nilijua nikipiga mashine vizuri nitaenda kuwatoa kabla hata hawajafika Same!!
Tumeanza kutembea sio kwa speed kali hiyo jioni jioni ya saa moja bado watu ni wengi barabarani na mibasi + magari makubwa mengi yakitoka Dar kuja Moshi, Arusha.

Haikuchukua dakika nyingi saana kufika Mwanga, nikaiona ile Murano ndio inaondoka, nikajua labda alikuwa anaongezea abiria, nikawa nimempita mbele kabla ya Kisaranga nikaipita na ile Mark x, Alphad sikuiona. Giza linazidi kuongezeka naona na barabara inapungua jam.

Tumepita Lembeni kwenye Kivuko cha treni jamaa wa Mark X akaovertake kwa speed kali kuianza Tambarare flan hivi kuelekea Same, hapo ndio ikawa shughuli hakuniacha mbali sana, kabla ya sehemu inaitwa mgagao Murano akaniovertake akaenda akaovertake na mark x..

Baada ya Murano kunipita nikagundua Mark X kaongeza speed zaidi kwasababu alianza kuniacha kwa mbali kidogo.

Nikagundua hawa watu kama vile wanafanya ligi hapo road, nikaamua na mimi kujihusisha nao, ule mtiti haukuwa wa kawaida Tukaanza kutembea sasa pita nikupite ikaanza, jamaa wa Mark X tulikuwa tunamuacha sana...

Mpinzani wangu mkubwa alikuwa jamaa wa Murano, hadi tunafika Korogwe, kwenye kona yakuelekea Old Korogwe, kuna beria, tukamkuta jamaa wa Alphad pale na gari nyingine ndogo mbili, zote zinaenda Dar, ebwana eeh kama ni ligi ndio ilikuwa kama vile inaanza piga nikupige,

Jamaa walikuwa wanatoa changamoto sana, hata kusinzia huwezi muda wote unawaza kumtangulia aliyeko mbele yako na kutokukubali aliyeko nyuma yako akupite! Huu mfumo ulifanya tukafika Dar mapema sana! Huu utaratibu wa Ligi kwenye hii barabara sijui kama ni wa kila siku, Kuna mashindano sana.

Ni barabara yenye ligi tena matata sana.
Kuna MwanaJf anayependa ligi barabarani, share na sisi.
Mkuu wewe ulikuwa na gari gani, haukutaja aina ya gari yako. Ila all in all ligi za barabarani sio nzuri mkuu.
 
Back
Top Bottom