feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 8,952
- 18,475
Sauli afu weka na majinja ile volvo ya sumbawanga hakuna anayefuata hizo gari boss...huyo dereva wa sauli ingekosa vizibiti mwendo siku ingekutwa kitonga bondeni miguu juu
licha ya changamoto za barabarani, kwa upande wa ligi za mabasi ya abiria nasikia kwa sasa anayesumbua route ya dar - mwanza ni tungis express na anayesumbua route ya dar - mbeya ni sauli express. imefika kipindi mpaka watu wanabet kuhusu haya mabasi.
View attachment 1222485View attachment 1222488