Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

Gari zenyewe mnazotumia ni Used more than 20 yrs old, mjapani kajambiaa weeee...nawe huku udereva umejifunzia ukubwani baada ya kuanza kazi na kumaliza Chuo basi unajiona derevaaa..ukifa kwenye ajali ndugu zako wanasema umerogwa kumbe ushamba ndio umekuua
 
Siyo ligi, mimi binafsi huwa napenda kumark gari moja na kutembea nyuma yake na huwa sipendi aniache sana, mkitembea kwa pamoja muda mrefu mnakuwa kama ndugu kiasi kwamba akikuacha muda hasikuone hujikuta akijiuliza yule jamaa kapata shida gani, na husishangae anakusubiri na ukipata shida husishangae mnakesha wote barabarani, so huu ni urafiki wa magari unaojijenga automatically. Magari yanafahamiana bwana!
Ni kweli mkuu nilowahi fuatana na IST moja kuanzia Ruvu chini hadi Mabibo External akihama huku na mimi nimo ilivyofika Mabibo External wakati yeye yupo kwenye foleni nikapiga honi mara mbili jamaa nae akajibu nikasema yees..jamaa tulishafahamiana
 
licha ya changamoto za barabarani, kwa upande wa ligi za mabasi ya abiria nasikia kwa sasa anayesumbua route ya dar - mwanza ni tungis express na anayesumbua route ya dar - mbeya ni sauli express. imefika kipindi mpaka watu wanabet kuhusu haya mabasi.

View attachment 1222485View attachment 1222488
Kwa bus za kichina huyo mnyama dragon ni hatari sanaaa,,maana yuko chinichini
 
Inasaidia sana hii unaiua husinziii akikupita unanyosha goti unakaza unampita badae anakupita tena ukistuka mmefika
Ni kweli mkuu nilowahi fuatana na IST moja kuanzia Ruvu chini hadi Mabibo External akihama huku na mimi nimo ilivyofika Mabibo External wakati yeye yupo kwenye foleni nikapiga honi mara mbili jamaa nae akajibu nikasema yees..jamaa tulishafahamiana
 
Na mashine yako iwe ya ukweli, na unaofanya nao ligi wawe na mashine nzuri.
Kuna muda uko speed 180km/h, lakini unashangaa kuna mjinga anakuovertake, sio mchezo!!! kwanini mnapenda ligi? [emoji3]
Ajabu niliyooiona kwenye noah ya magazeti ndio kama,niko na beast mmoja ninayemuamini,niko 140,kinoah kilinikata kama upepo dk tu sikukiona tena,jamaa niliekua nae akaniambia ya magazeti ile,ilikua njia ya bagamoyo-msata,wale madereva wa gari za magazeti si binadamu wa kawaida,noah si gari ya kukimbiza namna ile!!
 
wewe ulikuwa na gari gani??
 
Naam mkuu sasa wewe ndio tunaweza kuongea lugha moja.
M5 zinakuaga V8 naona Russia zimetakapaa za kutosha jamaa wanazipiga sana 360 degrees kibongo bongo ni ngumu sana kuziona M3 au M5 CIF zake zinakuaga hatari kushinda hizo 320i-330i
 
Back
Top Bottom