Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Niliibiwaga W5 yangu, mzee akaniboost na hicho kidudue jamani niliteseka [emoji23] kisimu hakijai hata mkononi, kilijaa fasta kikaanza kustack nikaachana nacho nikanunua kitochi..mpaka sahivi kipo kabatini sina hata pa kukipeleka, nilimpaga mdogo wangu akakikataa
Niuzie mkuu hako kasimu
 
Hujui uliongealo mkuu, Huawei??? Huifahamu Huawei wewe.

Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
 
Nashukuru tecno kwakunikaribisha kwenye dunia ya android.
Ingawa nilivutiwa na battery lake lakini ni simu siwezi nunua tena.
Mi nahisi mtu anaiponda tecno,kwasababu ya ile kitu ya kutokuwa mbunifu-ana tabia ya kusubiri brand kubwa ziachie design zao za simu na akishagundua ambazo zinapendwa na watu naye anacopy vile vile hadi mwonekano wa back cover alafu ana punguza bei

Akiamua kuwa serious kama HUAWEI alivyo sasa kwenye upande wa uzalishaji wa bidhaa bora,mbona watu watamuelewa tu.By the way wanajitahidi kwenye marketing ya brand zao kushinda hata kampuni kubwa mfano kama Sony(kwenye upande wa simu tu wakuu, msipaniki ndiyo ukweli)
 
Niliibiwaga W5 yangu, mzee akaniboost na hicho kidudue jamani niliteseka [emoji23] kisimu hakijai hata mkononi, kilijaa fasta kikaanza kustack nikaachana nacho nikanunua kitochi..mpaka sahivi kipo kabatini sina hata pa kukipeleka, nilimpaga mdogo wangu akakikataa
Naiomba mimi mkuu Depal nikutunzie huku nikiwa naitumia.
 
Viva Tecno...

Nilianzia tecno nilionunuliwa na baba, baba hiyo siku aliniuliza nikuletee simu aina gani nikamwambia naomba dk 2 nakujibu. Nikamuuliza rafiki angu brand ya kuchukua kati ya Tecno na Huawei, akasema chukua Tecno.
Samsung sikuiweka sababu nilikuwa naona ya mama jinsi ilivyo na camera mbaya mbaya tu

Mpaka sahivi natumia tecno ninazo nunua mwenyewe, sijawahi kuwaza kuhama sijui Tecno wameniroga 😩😩
Pamoja sana Mkuu...hebu tunaotumia tecno gonga like tujuane...me sihami tecno hata muisimange na matarumbeta,vijora,ngoma,mipasho.....nk
 
Mkuu watu hawaelewi hapa JF

Samsung ana simu yenye screen moja tu pamoja na i phone

Wakati kuna makampuni yana simu zenye screen mbili miaka kibao sana

Kuna Vivo dual screen kitambo sana
Dual screen inafanyaje kazi?
 
W5 naikumbuka wakati zimetoka zilikuwa hotsana upande wa kamera kutunza chaji na ndio ilinileta mpaka hapa jf.
Niliibiwaga W5 yangu, mzee akaniboost na hicho kidudue jamani niliteseka [emoji23] kisimu hakijai hata mkononi, kilijaa fasta kikaanza kustack nikaachana nacho nikanunua kitochi..mpaka sahivi kipo kabatini sina hata pa kukipeleka, nilimpaga mdogo wangu akakikataa
 
Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani

Haahaa, Je unajua hata hizo simu za iphone ulizoorodhesha, pia zina tengenezwa China karibu 60%.
 
Tecno ubora wake n kwenye Battery capacity na Camera kwakwel najivunia Xm yngu camera yke n kam 2 ya samsung galaxy s8 na hapo bado inaizid kwa battery capacity.

Kwani uzuri wa Simu hasa ni nini ndugu yangu ?
 
Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
Huawei? Ujinga hauna mipaka
 
Back
Top Bottom