Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 867
- 1,226
Simu ni lazima iwe na;
Quality build up
Quality battery
Great camera
Quality display
Sasa tecno hazina;
Quality build up
Quality camera
Quality display
Kiufupi wao wanakupa quality kitu ambacho kwa maisha ya sisi wavuja jasho ndio Cha muhimu zaidi kuwepo hewani display itanisaidia Nini wakati naokoa pesa ya mtaji wa kumiliki ubao wa kuuzia pweza yani ninunue simu laki 6 over my dead body kwasasa