Ankazominiotra
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 607
- 379
Tochi ikiwa ON ikagusa ngozi inaunguza kweli
Kwa iyo mtoto akikua mahitaji yatapunguaMajukumu yangu yananizuia kua na simu ya zaidi ya laki. Subirini mtoto akue kwanza.
Wewe ndie mshamba sijawahi kuona.
Wewe ndio unaambia watu watafte exposure wakati wewe huna? Vivo nex uilinganishe na s10+? Una akili timamu kweli? Hizo ranking umezitoa wapi?.
Simu hazilinganishwi umekaa kwenu mbagala maji matitu huko na vivo nex yako ukasema hii simu ni nzuri kuliko simu zote Duniani...
Yeah sasa hivi kila senti imeelekezwa kwake.
Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia...
Hapo kwenye Huawei umezinguaSmart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia...
Ni kweli kabisa mkuu,hata haya magar(Toyota,nissan,benz etc) tunayonunulia hapa hapa hapa bongo yanakuaga ni 'feki' sana labda kwa watu wanaoununulia magari Japan,US,Dubai,Germany ndio yanakuaga Original.I phone ukinunulia tanzania nyingi ni feki labda uwe umenunua nje ya nchi dubai na ulaya. Au asia sio china
Jamaa kaongea kwa mihemko na jazba nikaona hata tukisema tueleweshane hatakua tayari...
Halafu hawa ndugu zetu sijui kwa nini, Wengi wao wanakua na hasira na panic kweli,
Sasa unafura watu kusifia tuu samsung na iphone? ndio maana simu zao wengi zimepasuka vioo kimbe ni kugombana na keyboard...
Sisi tunatumia hizi za hovyo na tunaendelea kuperuzi,kudadisi,kupokea email,kupiga picha,miito ya sauti,SMS na n.k.Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia...
Hapa sasa mkuu Umetoka nje ya mada..Unanunua simu kubwa ambayo kioo kikiharibika unaanza kuhangaika. Bora ununue simu inayoendana na budget na matumizi yako
Nilitaka nimuulize hivyo na mm
mkuu sio kwel Huawei yuko vizuri sana na ana simu nzuri zaid ya izo iPhones na samsung.Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili
Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
Hapa sasa mkuu Umetoka nje ya mada..
Maana hata tecno leo hii anasimu zinakalibia 600k..
Na samusung ana simu kuanzia 150k..
Mada inahusu brand.