Mimi natumia huaweiNakuona IPhone user 😀

Nokia haizungumziwi sana ila ni moja ya brand kubwa sana na matumizi yake ni uhakikaMbona hamzungumzii NOKIA??
Vivo inachezea bei gan mkuuJichange pesa achana na takataka kama samsung na iphone kila mtu anayo
Nunua simu unique hata ukitoa watu wanatikisika na hawawezi kuipata kirahisi
Simu kama. Vivo nex dual screen
Huawei P40 pro
Nokia 8 siroco
Huawei nova 5T
One plus 8 pro
Vivo nex 1805,Hii ni ya mwaka 2017 ila ni kali kuliko hata samsung za mwaka 2020 kwa matumizi na teknolojia,ni super technology
Achana na mauchafu samsung au iphone kila mtu anayo kama sare za shule
Koh koh M 💃Mimi natumia huawei
Sijaiona hapo Sony Experia sijui unaizungumziaje wewe uliyatembeaPole sana mkuu huna exposure ya nje ya nchi na wala hujui teknolojia
Huawei ana simu kali na nzuri kuliko hayo mauchafu yako ya iphone na samsung
Vivo ana simu kali sana kama za nex ,Teknolojia ambayo samsung na iphone bado,Hujatembea wewe na unategemea simu za kibongo bongo
One plus series ni simu kali kuliko hizo samsung na iphone
Hebu jaribu kutembea kidogo
Mimi binafsi siwezi beba simu ambayo kila mtu ana hiyo brand mfano samsung au iphone
Simu kama one plus 8 pro,Vivo nex dual screen,Huawei P 40 huwezi linganisha na takataka za samsung au iphone
Wewe unanunua simu Tanzania ,kuna simu hapa Tanzania haziletwi kutokana na umaskini wa watu ila mtandaoni unanunua
Simu ya Vivo nex 1805 ya mwaka 2017 imeizidi hata samsung galaxy s10+ ya mwaka jana 2019

Inaonekana hauna danga wewe.. [emoji23] [emoji23]Viva Tecno...
Nilianzia tecno nilionunuliwa na baba, baba hiyo siku aliniuliza nikuletee simu aina gani nikamwambia naomba dk 2 nakujibu. Nikamuuliza rafiki angu brand ya kuchukua kati ya Tecno na Huawei, akasema chukua Tecno.
Samsung sikuiweka sababu nilikuwa naona ya mama jinsi ilivyo na camera mbaya mbaya tu
Mpaka sahivi natumia tecno ninazo nunua mwenyewe, sijawahi kuwaza kuhama sijui Tecno wameniroga [emoji30][emoji30]
Danga ni nini?Inaonekana hauna danga wewe.. [emoji23] [emoji23]
Jiandae sasa hivi itakuja Spark 5.Nipo na Tecno sparck 4 yangu hapa na napata vyote vilivyopo kwenye hizo kampuni zingine.
Watanzania tupige domo tu lakini mabeberu wanajua mchina kawashika pabaya sana! Hii ikifa au ikiporwa nahamia kwa Huawei, OPPO, Vivo au Tecno tena
Wanasema ni calculator yenye imechangamka.Sa itakuwaje?
Ni sawa tu, muhimu mawasilianoWanasema ni calculator yenye imechangamka.
Sio mbaya kwa kuwa ina mambo yote yaliyo kwenye simu za makampuni mengine. Ila nataka nichukue chombo ya redmi not 8 au 9Jiandae sasa hivi itakuja Spark 5.
Danga ni nini?
Nipo DSM mbonaHamia dsm utajua.
Nipo DSM mbona
huyajui madanga ndio maana unapenda tecno.Nipo DSM mbona
Sony kwenye segment ya simu kapitwa vibaya sana , siku hizi watu wanzungumzia tech ya 7nm processors ,Sijaiona hapo Sony Experia sijui unaizungumziaje wewe uliyatembea