Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Pole sana mkuu huna exposure ya nje ya nchi na wala hujui teknolojia

Huawei ana simu kali na nzuri kuliko hayo mauchafu yako ya iphone na samsung...
Wewe ndie mshamba sijawahi kuona.

Wewe ndio unaambia watu watafte exposure wakati wewe huna? Vivo nex uilinganishe na s10+? Una akili timamu kweli? Hizo ranking umezitoa wapi?.

Simu hazilinganishwi umekaa kwenu mbagala maji matitu huko na vivo nex yako ukasema hii simu ni nzuri kuliko simu zote Duniani.

Eti vovo nex haziletwi Tanzania kwa sababu hatuwezi kununua, hivi akili yako inafanya kazi sawa sawa? Watu wananunua simu ya Dollar 1399 washindwe simu ya Dollar 600 au 700?

Tafta elimu ya kutosha kuhusu tecnolojia ya simu, soma rankings za simu zinazotambulika Duniani sio za, achana na ulimbukeni. Hizi stori ya kitoto wadanganye ndugu zako huko.
 
Jamani tunaposema tekno hazifai muwe mnaelewa tunazungumzia haya. Bei anayouza kifaa chake mara nyingi inakua kubwa tofauti na specification za simu husika.

Hataki kubadilika kwa baadhi ya mambo mfano mpka leo hii tekno anatumia processor dhaifu za mtikenge (mediatek) ilihali kunaprocessor nzuri za mtk kwa sasa.

Simu kutokupata update yoyote. Hapa tekno amefeli San sana yaani simu hazipati update yoyote ile kwa mda mrefu sasa.

Mtoa mada naomba uanze kuweka toleo moja moja la tekno tuwe tunalichambua na kulinganisha na makampuni mengine, na wewe unayesema huawei ni dhaifu acha kabisa huo utopolo. Jana nimeishika huawei p30pro somewhere ni habari ingine kabisa.
 
Pole sana mkuu huna exposure ya nje ya nchi na wala hujui teknolojia

Huawei ana simu kali na nzuri kuliko hayo mauchafu yako ya iphone na samsung

Vivo ana simu kali sana kama za nex ,Teknolojia ambayo samsung na iphone bado,Hujatembea wewe na unategemea simu za kibongo bongo

One plus series ni simu kali kuliko hizo samsung na iphone

Hebu jaribu kutembea kidogo

Mimi binafsi siwezi beba simu ambayo kila mtu ana hiyo brand mfano samsung au iphone

Simu kama one plus 8 pro,Vivo nex dual screen,Huawei P 40 huwezi linganisha na takataka za samsung au iphone


Wewe unanunua simu Tanzania ,kuna simu hapa Tanzania haziletwi kutokana na umaskini wa watu ila mtandaoni unanunua

Simu ya Vivo nex 1805 ya mwaka 2017 imeizidi hata samsung galaxy s10+ ya mwaka jana 2019
Acha Uongo.
 
Jichange pesa achana na takataka kama samsung na iphone kila mtu anayo

Nunua simu unique hata ukitoa watu wanatikisika na hawawezi kuipata kirahisi

Simu kama. Vivo nex dual screen

Huawei P40 pro
Nokia 8 siroco

Huawei nova 5T

One plus 8 pro

Vivo nex 1805,Hii ni ya mwaka 2017 ila ni kali kuliko hata samsung za mwaka 2020 kwa matumizi na teknolojia,ni super technology

Achana na mauchafu samsung au iphone kila mtu anayo kama sare za shule
Yani wewe ni limbukeni na mshamba sana, wewe ni calibre ya tecno aliechangamka.

Uwezo wa kununua samsung au iphone huna sasa unabaki unaponda hapa. Samsung na Iphone ndio brand pekee zinazotawala Dunia kutoa product za kiwango kinachokubalika.

Hizo takataka zako unazozitaka haziwafikii hao. Kama kitu huna uwezo nacho usikiponde.
 
Mleta maada Acha kutumia Tecno , ni simu moja kopo Sana , tafuta hela ununue simu nzuri na imara , Tecno , itel na mdogo wao infinix hzo ni toy, yaan mi nikiona mtu ana hzo simu huwa namuona kama uso wa mbuzi hvi ,

nunua brand hzi...iPhone, Huawei , Samsung , opppo , Xiaomi na Sony....hzo ndo top five most trusted world wide, Kwanza ukienda kununua China simu za Tecno, unapimiwa kwemye ndoo na nyongeza juu
 
Mbona mnatuchanganya?! Wengine mnasema Tecno zetu hazifai mambo yote Samsung na iPhone! Mara wengine wanasema Samsung na iPhone ni takataka. Tuacheni na Tecno zetu,wengine simu ni kupiga,kupokea,kutuma msg basi,Tecno zinatosha.
 
Ukweli ni kwamba pia watanzania wengi wanajua brands chache za simu hasa Samsung na iPhone tena nyingi tunanua copy... Kuna simu nzuri zaidi ya hizo tena bei za kawaida
 
Majukumu yangu yananizuia kua na simu ya zaidi ya laki. Subirini mtoto akue kwanza.
 
Naona Tecno wanauza simu Bei ghali sana ukilinganisha na spec zao, simu ya mediatek inafika Hadi Laki nne , halafu hakuna updates

Sent
 
Wewe ndie mshamba sijawahi kuona.

Wewe ndio unaambia watu watafte exposure wakati wewe huna? Vivo nex uilinganishe na s10+? Una akili timamu kweli? Hizo ranking umezitoa wapi?.

Simu hazilinganishwi umekaa kwenu mbagala maji matitu huko na vivo nex yako ukasema hii simu ni nzuri kuliko simu zote Duniani...
Kichaa sio lazima aokote makopo

Povu jingi sana mkuu ,Punguz hasira
 
Yani wewe ni limbukeni na mshamba sana, wewe ni calibre ya tecno aliechangamka.

Uwezo wa kununua samsung au iphone huna sasa unabaki unaponda hapa. Samsung na Iphone ndio brand pekee zinazotawala Dunia kutoa product za kiwango kinachokubalika.

Hizo takataka zako unazozitaka haziwafikii hao. Kama kitu huna uwezo nacho usikiponde.
Mbona una hasira sana mkuu,Mawazo yako ya kufikiri yanaishia kwenye i phone na samsung

Hujatembea nje na huna exposure yeyote wewe

Mzee wa Dar salaam wewe mwisho nanjilinji
 
Ukweli ni kwamba pia watanzania wengi wanajua brands chache za simu hasa Samsung na iPhone tena nyingi tunanua copy... Kuna simu nzuri zaidi ya hizo tena bei za kawaida
Mkuu watu hawaelewi hapa JF

Samsung ana simu yenye screen moja tu pamoja na i phone

Wakati kuna makampuni yana simu zenye screen mbili miaka kibao sana

Kuna Vivo dual screen kitambo sana
 
Tecno, zimeshakuwa kama jezi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi hapana Bora hata OPPO
 
Tecno simu Kali sana zipo sema tu watu wana aleji na hill jina wakibadilisha wakaiita ecno itakua bomba

Hapa nimecomment kwa kutumia itel a 10 kwani muandiko hausomeki?
 
Back
Top Bottom