Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
Itel
 
Duh! Sasa iPhone 6 nayo si tecno iliyochangamka tu!!!?

Yan we ni mshamba 😂😂 yan unatumia IPhone 6 na bado unatembea kifua "mberee" kudhiaki brand nyingine?!! Pambana ufike hata 8 ndiyo uje kucheka Tecno
Wewe unatumia cm ipi?
 
Siku ukikua utaelewa
Jichange pesa achana na takataka kama samsung na iphone kila mtu anayo

Nunua simu unique hata ukitoa watu wanatikisika na hawawezi kuipata kirahisi

Simu kama. Vivo nex dual screen

Huawei P40 pro
Nokia 8 siroco

Huawei nova 5T

One plus 8 pro

Vivo nex 1805,Hii ni ya mwaka 2017 ila ni kali kuliko hata samsung za mwaka 2020 kwa matumizi na teknolojia,ni super technology

Achana na mauchafu samsung au iphone kila mtu anayo kama sare za shule
 
Viva Tecno...

Nilianzia tecno nilionunuliwa na baba, baba hiyo siku aliniuliza nikuletee simu aina gani nikamwambia naomba dk 2 nakujibu. Nikamuuliza rafiki angu brand ya kuchukua kati ya Tecno na Huawei, akasema chukua Tecno.
Samsung sikuiweka sababu nilikuwa naona ya mama jinsi ilivyo na camera mbaya mbaya tu

Mpaka sahivi natumia tecno ninazo nunua mwenyewe, sijawahi kuwaza kuhama sijui Tecno wameniroga [emoji30][emoji30]
Siku ukigusa brand zingine basi ujue utapotezea hio takataka, Tecno ni uchafu ni low end user phone hemu switch kwenye flagship kama Samsung S series au iPhone kuanzia 7 and above ndo utaona raha ya Screen na touch ilivo tamu, Mimi maisha yangu sijawahi kugusa tecno nipo na nokia na Samsung tu tekno naishia kuzishika mtu akija sijui nimrekebishie hichi mara hichi ndo nashika kwanza screen ni haina brightness nzuri
 
tecno waliponiuzi ni kuwa waliniletea system update basi nika update ..mamaaa kuja kucheki kuna features wameharibu.
kabla sijaupdate ultra power saving mode ilikuwepo ila baadae ikaondoka. si ujuha huu??

Nimeona kitu ambacho wachangiaji hawajakisema ni kuwa tecno hazipendwi kwa sababu akitoa toleo fulani lazima ayumbe sehemu sijui makusudi ama nn

Mf. toleo fulani anaweza boresha specification fulan afu akayumba kwingine eq.battery capacity afu akayumba camera ,au ram .sehemu nyingne rom ikawa nyingi afu ram ndogo

kwa mf me kisimu fulani nilinunua cha tecno mwaka juzi kilikuwa na ram 512MB. afu rom gb 8 .😀😀😀😀 inaitwa tecno S1..

me tecno hapana bora nitumie hata brand za 2014 ambazo zipo nje ya tawi la tecno na michepuko yake kama itel ,inifinix etc..

by the way OPPO anatakatisha moyo wangu navotype hapa
Oppo wanatabia unakuta ina storage 32 ROM na 4 RAM ila unadownload video za MB 20 kama tano halaf unaambiwa storage ipo full
 
Nilishinda biko ml5 nikanunuaa iPhone ml 1.8 clone au OG sijui chenji ikabaki japo demu wangu alinishauri nivute bodaboda nikamwambia wait....
Na nilivyo MTU wa maji nikatenga 500k ya maji pamoja na vipele...
Siku ya pili night kaliii Niko na vipele walitokea paka. Road itaendelea....
 
Tecno ubora wake n kwenye Battery capacity na Camera kwakwel najivunia Xm yngu camera yke n kam 2 ya samsung galaxy s8 na hapo bado inaizid kwa battery capacity.
Camera ya tecno uifananishe na ya s8? Unaumwa?

Watu weusi ndio tunapenda camera za tecno poor quality with high color saturation unaonekana mweupe au unangaa kumbe ni mweusi tii.

Mnaopenda picha ya kung'aa zisizo na ubora ndio mnasema camera ya tecno sawa na s8?
 
Tecno ni ya hovyo sana tunazitumia tu sababu mchina ameingilia soko la nchii yetu. lhali taifa letu hata kile kichuma au kichwa cha kuchaji simu hatujaweza kuunda

Ni mambo ya ajabu sana katika makampuni yanayojitahidi kutengeneza na kuboresha bidhaa zao ni tecno miaka ya nyuma walikua na changamoto mbalimbali ila kwa sasa wapo vizuri

Angalia uimara wa simu,battery hata camera tunaweza kusema tecno sasa waweza mshindanisha hata na samsung

Kinachosikitisha ni kwamba zaidi ya asilimia 90% ya wana jamiiforum wanatumia tecno

Kama mnakumbuka kipindi ule ujumbe uliokua unatokea kwenye thread au comment za wana humu ule wa "SENT BY USING...
Jf kila mtu ana iphone na samsung ukipost tecno unapopolewa haya mnambie hivi kipind kile cha sent by using....mbona zaidi 90%users zilionekana tecno?hizo iphone au samsung zilipoteleaga wap???
ilionekana zaidi ya 90% ni tecno tu zilikua zinaonekana humu halafu hao hao watu watajifanya wana iphone na samsung tuacheni kufake maisha

Tuache kubeza kampuni za watu na kuharibu brand za watu jamani mtakujaga kushtakiwa shauri yenu
[/QUOTE]
 
Viva Tecno...

Nilianzia tecno nilionunuliwa na baba, baba hiyo siku aliniuliza nikuletee simu aina gani nikamwambia naomba dk 2 nakujibu. Nikamuuliza rafiki angu brand ya kuchukua kati ya Tecno na Huawei, akasema chukua Tecno.
Samsung sikuiweka sababu nilikuwa naona ya mama jinsi ilivyo na camera mbaya mbaya tu

Mpaka sahivi natumia tecno ninazo nunua mwenyewe, sijawahi kuwaza kuhama sijui Tecno wameniroga 😩😩
Tecno sio Simu
 
Jichange pesa achana na takataka kama samsung na iphone kila mtu anayo

Nunua simu unique hata ukitoa watu wanatikisika na hawawezi kuipata kirahisi

Simu kama. Vivo nex dual screen

Huawei P40 pro
Nokia 8 siroco

Huawei nova 5T

One plus 8 pro

Vivo nex 1805,Hii ni ya mwaka 2017 ila ni kali kuliko hata samsung za mwaka 2020 kwa matumizi na teknolojia,ni super technology

Achana na mauchafu samsung au iphone kila mtu anayo kama sare za shule
Wewe ni wakala wa vivo?
 
Back
Top Bottom