Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Jitahidi usifight kununua simu. Ninachotaka kusema hapa ufikie level ukitaka kununua simu yoyote unaenda tu dukani unanunua. Sio kama hivi inabidi utumie kitochi huku unadunduliza upate simu ya kuwacheka wenye Tecno.
Well said
Yuko hapa kucheka Tecno, wakati yeye kuimiliki tu Samsung ni mpaka adundulize kwa miezi karibu 3 halafu hata haoni aibu anasema hadharani.
 
Bora shule zifunguliwe muondoke mtaani maana hamna mnachoelewa ni upuuuzi tuuuuu. Kama umeficha ID yako, ni upuuzi kuzungumzia chetu apa ndio maana wewe ni mpuuzi usielewa dunia ilipotoka na inapoelekea. Ushaona wapi mzungu mwenye jina hata wanamuziki maaarufu wanatumia simu ya kichina

Kama ulienda kusoma shule basi ulisomea ujinga.

Kwa hiyo kwa sababu wanamziki wanatumia Iphone kwa hiyo iphone ndiyo simu inauza kuliko simu zote duniani?

Hivi unajua How stupid you are?

Hizi ni akili za kuvukia barabara.

Halafu siyo kila mtu ni mwanafunzi humu ndani. Hata nilipokuwa mwanafunzi sikuwa mjinga hivo.
 
Nimesoma hii comment yako then nikaangalia joined date yako, kuna kiharufu nimekisikia.

Mchana mwema...
 
Jichange pesa achana na takataka kama samsung na iphone kila mtu anayo

Nunua simu unique hata ukitoa watu wanatikisika na hawawezi kuipata kirahisi

Simu kama. Vivo nex dual screen

- Huawei P40 pro
- Nokia 8 siroco
- Huawei nova 5T
- One plus 8 pro

Vivo nex 1805,Hii ni ya mwaka 2017 ila ni kali kuliko hata samsung za mwaka 2020 kwa matumizi na teknolojia,ni super technology

Achana na mauchafu samsung au iphone kila mtu anayo kama sare za shule
Kuna watu mmejaliwa kuuchonga, mwe!
 
[emoji23]
FB_IMG_1589981034541.jpeg
 
Upo sahihi Tecno ni simu ya wasukuma.
Sasa mkuu Usukuma umeingiaje hapa au kwa mawazo yako unajua Mwanza ni Wasukuma tu!

Muulize mama yako anakotokea halafu uende ukajionee kama hawatumii techno.

Halafu utumiaji wa simu ni utashi wa mtu, kuna watu wana vibunda vimenona lakini hawana shida na hiyo simu

Simu yako hiyo mpaka mda huu imekusaidia nini tofauti na mtumiaji wa techno?

Mimi situmii techno ila umekosea kusema techno ni za wasukuma
 
Tecno nisimu ya watu wenye kipato cha chini..... #Kila mtu anafahamu.

Simu ni iPhone tu
Teknolojia ya iphone mbona ni ya kizamani sana, kuna nini cha ziada watu mnazipendea?

Kwa sisi tunaoshinda mitandaoni haifai hata kulumangilia!

Ukisema uizime uichaji, inajiwasha automatic, tena line moja!

Tatizo la kujiwasha kwenye chaji ilibidi niinywe fasta.
 
Nipe brand 3 za simu nzuri kwa mtazamo wako
 
Mm nmeamua ninunue Nokia baada ya masimango yenu.
Nokia ipi yanifaa kwa kabajeti ka 260k?
Nokia ya bei hiyo ni low end, ongeza japo ifike 450k upate midrange. Low end nyingi zinatumia chipsets za mediatek ambazo kwa maoni yangu sio nzuri sana(tecno nyingi zinaangukia hapa). Ongeza hapo upate zenye Qualcomm Snapdragon, hizi zinafanya simu i-run so smooth.
 
Asante mkuu kwa maelezo mazuri yaliyoshiba ,huu ndo uzuri wa JF kuna wajuzi wenye maarifa mbalimbali.
 
Tecno ndio simu zangu mimi, uwezo mkubwa kwa bei nafuu... sio unatoa laki 2 unachukua kisimu kina ram 1gb na internal memory 8gb kisa tu ni samsung...wakati kwahiyo hela naweza pata mzigo wa maana kutoka Tecno... sasa hivi nataka niwajaribu Itel na Xtigi
 
Tecno simu Kali sana zipo sema tu watu wana aleji na hill jina wakibadilisha wakaiita ecno itakua bomba

Hapa nimecomment kwa kutumia itel a 10 kwani muandiko hausomeki?
Umesomeka vizuri sana Mkuu
 
Tecno ndio simu zangu mimi, uwezo mkubwa kwa bei nafuu... sio unatoa laki 2 unachukua kisimu kina ram 1gb na internal memory 8gb kisa tu ni samsung...wakati kwahiyo hela naweza pata mzigo wa maana kutoka Tecno... sasa hivi nataka niwajaribu Itel na Xtigi
Karibu sana itel mkuu. Huku kwetu ukinunua simu unapata chupa ya maji bure.
20200528_133231.jpg
 
Back
Top Bottom