Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflnix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
Wew ndo simu huzijui kabsa check hata samsung ulivoandika yani huawei umemuweka kundi moja na tecno????!!! Shiiitttt

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflnix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
Sony saivi hawana maajabu tenaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tecno hapana kwa kweli nishazitumia nazielewa kwa sasa natumia infinix na iko poa tu lengo ni upgrade kwenda Infinix note 7 , ika nikipata connection nitanunua my dream phone Motorola au blackberry
 
Wabongo wanaoziponda Tecno na Huawei ndo hao hao wanaoziponda Passo na Vits na ndo hao hao wanaokwambia hawawezi kuishi sehemu kama Chanika au Mbagala. Ni watu flani wanaojiona so special and classic hivyo tuzoee tu kuishi nao ndo wameumbwa hivyo
 
Tecno ndio simu zangu mimi, uwezo mkubwa kwa bei nafuu... sio unatoa laki 2 unachukua kisimu kina ram 1gb na internal memory 8gb kisa tu ni samsung...wakati kwahiyo hela naweza pata mzigo wa maana kutoka Tecno... sasa hivi nataka niwajaribu Itel na Xtigi

Hebu nitajie tecno ya laki 2 yenye 64GB na powerful processor. Na mimi nikutajie simu nyingine ya laki 2 yenye hivyo vitu.
 
Pole sana mkuu huna exposure ya nje ya nchi na wala hujui teknolojia.

Huawei ana simu kali na nzuri kuliko hayo mauchafu yako ya iphone na samsung

Vivo ana simu kali sana kama za nex , Teknolojia ambayo samsung na iphone bado, Hujatembea wewe na unategemea simu za kibongo bongo.

One plus series ni simu kali kuliko hizo samsung na iphone

Hebu jaribu kutembea kidogo.

Mimi binafsi siwezi beba simu ambayo kila mtu ana hiyo brand mfano samsung au iphone

Simu kama one plus 8 pro, Vivo nex dual screen, Huawei P 40 huwezi linganisha na takataka za samsung au iphone.

Wewe unanunua simu Tanzania, kuna simu hapa Tanzania haziletwi kutokana na umaskini wa watu ila mtandaoni unanunua.

Simu ya Vivo nex 1805 ya mwaka 2017 imeizidi hata samsung galaxy s10+ ya mwaka jana 2019
Ukali wa simu uko kwenye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tecno hapana kwa kweli nishazitumia nazielewa kwa sasa natumia infinix na iko poa tu lengo ni upgrade kwenda Infinix note 7 , ika nikipata connection nitanunua my dream phone Motorola au blackberry
Hivi kwenye soko la smartphone BlackBerry na Motorola wapo kweli? Labda km vibatan .
 
Ki ukweli mimi natumi Tecno na sioni tatizo lolote, Hi inatokana na uwezo wangu wa sa hivi naelewa Sumsang au IPhone za kipindi hichi sina uwezo nazo..

Nikiona mtu mwenye simu nyingine akinidharau kisa natumia Tecno naona ni sawa kanidharau mimi binafsi kwani namilimi kile nilichokuwa na uwezo nacho , Na kibaya maisha hayasimami maadam natafuta nitaeza kufika sehemu nam nikawa na hizo anazo ona zafaa yeye kumiliki.

"KUMILIKI SIMU YA BRAND KUBWA NA BEI KUBWA HAKUBADILISHI MAISHA YAKO" Hapa ni kuongelea mtu ambae anapambana vyovyote kuwa na Iphone 11 kwa sa hivi hali ya kuwa uwezo wake haujafika huko ni ujinga.
Nakumbuka nikiwa advance kuna mwanafunzi mwenzetu alikuwa anamiliki I phone 6 na ndo zilizokuwa chat kipindi hicho ila asubuh ndo anae omba dawa yaswaki ,mafuta ya kupaka,sabuni ya kuogea sa nyingine akikuona na miatano anaomba aweke vocha hapo ndo tunakosa maana ya unachokimiliki.

Pia mtu mwenye I phone 5 au 4 na sumsang S 3 au 4 au 5 niseme tuu usijidanganye una miliki simu ya kampuni kubwa. Haiwezekani simu ya mwaka 2011 una tambishia watu eti una simu ya brand kubwa..

Sa ingine Wakina Tecno ,itel wanatusaidia twende na wakati ulivyo unakuta mtu unamiliki simu ya mwaka huo huo yenye vitu ambavyo Sumsang anavyo hata kama vinapungua qulity kidogo ila unaenda na muda unavyo enda. Sa nikiwa na Tecno yangu Common 11 alafu mtu wa I phone 5 au samsang S 5 anaeza nicheka kweli? huo ni ujinga kiwango cha lami..

Tuseme tuu Tecno ina nafasi yake katika jamii, watuu waiheshimu kwani ni sawa na kumdharau mtu kipato chache wakati maisha yanabadilika haya.
 
Hebu nitajie tecno ya laki 2 yenye 64GB na powerful processor. Na mimi nikutajie simu nyingine ya laki 2 yenye hivyo vitu.
laki 2, unaeza pata 16gb na ram 2gb (e. g tecno cx) nitajie Samsung ya laki 2 yenye hizo specs....ukiongeza 150 (laki 3.5)...unapata tecno camon 12, bonge la simu, 32/64 gb and 3gb ram, muonekano bien...laki 3.5 unapata Samsung gani?
 
laki 2, unaeza pata 16gb na ram 2gb (e. g tecno cx) nitajie Samsung ya laki 2 yenye hizo specs....ukiongeza 150 (laki 3.5)...unapata tecno camon 12, bonge la simu, 32/64 gb and 3gb ram, muonekano bien...laki 3.5 unapata Samsung gani?



Lenovo K5 Pro inauzwa less than 230k. Ina 64GB na Ram 4GB halafu ina processor ya snapdragon siyo takataka kama MTK ya tecno.
 
Viva Tecno...

Nilianzia tecno nilionunuliwa na baba, baba hiyo siku aliniuliza nikuletee simu aina gani nikamwambia naomba dk 2 nakujibu.

Nikamuuliza rafiki angu brand ya kuchukua kati ya Tecno na Huawei, akasema chukua Tecno.
Samsung sikuiweka sababu nilikuwa naona ya mama jinsi ilivyo na camera mbaya mbaya tu

Mpaka sahivi natumia tecno ninazo nunua mwenyewe, sijawahi kuwaza kuhama sijui Tecno wameniroga [emoji30][emoji30]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wamekuroga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara matangazo

Kuna watu wanajua kuna ligi moja tu ya mpira yaani La liga kisa kuna lionel Mesi

Ukiwaambia pia uingereza kuna ligi ya EPL hawaelewi na wanakucheka kwani la liga kwao ndio bora

Hivyo wewe samsung na i phone ni mazingira uliyonayo yanakutesa sana ndio simu unazopata

Hata maduka makubwa Dar nasikia ni Tecno,iphone na samsung
oppo,vivo, xiaomi wengi awazijui huawei wanaichukulia kirahisi
 
Back
Top Bottom