Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Mimi na kuja na brand new kabisa kuwahi kutokea duniani.....😉 😉
 
Si upambane na tecno yako kimya kimya dada. Simu ni 4 tu duniani Samsung, Huawei , iPhone and 1 plus zilizobaki kama tecno infinix etc ni vifaa vya mawasiliano
Mkuu umewahi kusikia kitu inaitwa Google pixel???
 
Kuna siku nilifika maeneo ya zanzibar nikawa na jamaa yangu,sasa mimi nikawa na tecno yangu mpya kabisa ya bei kali,jamaa akaniomba aicheki simu yangu mana ilikuwa na muonekano mzuri.daaah ile jamaa kuiona ni tecno akanipolomoshea maneno "we jamaa yangu wa ukweli kabisa na wewe unatumia tecno aisee!"

Niliumia mtu kudharau simu yangu na isitoshe bado mpya kabisa,basi tangu siku ile sikuwa na amani kabisa hasa nikipanda usafiri wa uma full kuificha tecno yangu hasa nikiwa na wadada wenye simu zao kali ndo kabisa naweka silent na siitoi hata nione inaita.kwa kweli kule watoto wadogo wana simu kali hadi unaweza kuwaza wana toa wapi pesa za kuchezea kwa kununua vitu ghari namna ile.

Ilibidi ninunue tu sumsung kali ili niendane na wao niondoe fedheha mana mtu anaweza kukudharau kutokana na unachotumia pasipo kujali kingine ulicho nacho either nyumba,gari au akaunti iliyo shiba,yeye akiona simu yako ni aina fulani basi anaona umechoka kweli kweli

Chakushangaza baada ya kutoka zenji ambapo nili spend kama miaka 4 nikafika mwanza naingia ofisini namkuta boss wangu ana tecno ,nazunguka zunguka mle oficn naona mademu wazuri wana tecno tena ndogo ndogo za laki tatu kushuka chini na wapo comfortable kabisa,dah nikaona kila sehemu na watu wake na vitu vyao
 
Sasa Mwanza si kumejaa lile kabila mkuu usishangae hizo ndo simu zao. Zenji kwa wajanja.
 
Upo sahihi Tecno ni simu ya wasukuma.
 
Mwaka juzi nilienda sehemu, 90% ya watu wa huko wanatumia iPhone, 10% iliyobaki ni Samsung, Nokia, HTC, Sony. Yaani hata Huawei sikuiona.

Nilianza na HTC, nimekuwa mteja wa Nokia, tena mwaminifu sana, naipenda tu bila hata sababu za msingi.
 
Kwa miaka mingi sana competition ilikuwa ni kati ya Samsung na Apple. Ila kuanzia miaka ya 2018 huawei akaingilia kati na battle ikawa kati ya huawei na Samsung. Yaani huawei alimpita apple na kukaa nafasi ya pili kwenye market shares. Wakati yanatokea hayo apple alikuwa hatoi simu?

Hapo vivo na Xiaomi ukiangalia ongezeko lao la mauzo kila mwaka ndio utajua nasema nini.

Mfano Oppo ana simu inaitwa Oppo reno ace inauzwa $350. Ina features za simu ambazo zinauzwa $1000.
Hiyo bei sio kweli.
 
Tabia ya kudharau simu za Tecno itawaponza milele baadhi yenu milele

Nashangaa hii tabia ikoje kwa sababu ni jambo la kushangaza Watanzania wa humu jf mnadharau simu za Tecno bila sababu zozote zile za msingi

Na watu wamekua wakibeza simu za tecno bila mantiki bila hoja ilhali taifa letu hata kile kichuma au kichwa cha kuchaji simu hatujaweza kuunda

Ni mambo ya ajabu sana katika makampuni yanayojitahidi kutengeneza na kuboresha bidhaa zao ni tecno miaka ya nyuma walikua na changamoto mbalimbali ila kwa sasa wapo vizuri

Angalia uimara wa simu,battery hata camera tunaweza kusema tecno sasa waweza mshindanisha hata na samsung

Kinachosikitisha ni kwamba zaidi ya asilimia 90% ya wana jamiiforum wanatumia tecno

Kama mnakumbuka kipindi ule ujumbe uliokua unatokea kwenye thread au comment za wana humu ule wa "SENT BY USING...

Jf kila mtu ana iphone na samsung ukipost tecno unapopolewa haya mnambie hivi kipind kile cha sent by using....mbona zaidi 90%users zilionekana tecno?hizo iphone au samsung zilipoteleaga wap?

ilionekana zaidi ya 90% ni tecno tu zilikua zinaonekana humu halafu hao hao watu watajifanya wana iphone na samsung tuacheni kufake maisha.

Tuache kubeza kampuni za watu na kuharibu brand za watu jamani mtakujaga kushtakiwa shauri yenu.
Hoja safi sana..
Mi nafahamu watu wengi wana ujinga wa jumla ambao hutokea kama mtu atamudu au hatomudu gharama flani.
Tecno yako inafanya kazi kama simu nyingine japo ubora tofauti utapata huduma ya
Internet
Kupiga simu
Picha( Hapa ndio uhayawani ulipojichimbia kwa sasa mtu anapiga selfie chooni,kageuza kalio tulione nk).
Note:
Kila mtu na mambo yake..
Nishajibu kwa Tecno yangu na nafurahia Jf kama boss mwenye Samsung na i phone.
 
Hiyo bei sio kweli.

Aiseee naona imepanda kidogo sasa hivi. Lakini kuna mara kadhaa nmeiliicheki within hii miezi miwili bei yake ilikuwa inaanzia $350. Hata hiyo Realme X2 Pro ilikuwa inaanzia $323 ila saiv ipo $357.

Hizo simu unadhani zingekuwa Samsung au apple zingejzwaje?
Screenshot_20200527-201839.jpg
Screenshot_20200527-202002.jpg
 
Daah unatokea karibu na Kagera?
Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflnix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
 
Kwa Anayeweza, Anayetaka na ukiona inafaaa...

Nunua Samsung Note-series,
Acha kabisaaa,
Hii ndio simu pekee yenye features ambazo huwezi kuzikuta kwenye simu nyingine yoyote duniani ikiwemo samsung S-series

Nashindwa nielezeeje ila kwa ufupi ile S-pen inarahisisha maisha sanaa,

Ina features ambazo theoretically ukiambiwa utaona za kazi gani, ila practically ukaishika hutokabali uikose tena.

Sasa sio ukanunue Note 1, Note 9 kuja 10 ndio kuna big changes, tusubiri Mwezi wa Saba wanaachia msumalj mwingine...

Samsung Note-series Hua ndio flagship za kufungia mwaka, sikuzote S ipo Nyuma ya N.
 
Safi sana. Wanavozisifia hizo cm zao ukiingia kwenye thread za malalamiko kuhusu mitandao unakuta wao ndo wanaongoza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi unaanza kujiuliza thamani ya simu zao ni kuwaonesha wasionazo tu au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Viva tecno viva users

Kikubwa uhai tuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hoja safi sana..
Mi nafahamu watu wengi wana ujinga wa jumla ambao hutokea kama mtu atamudu au hatomudu gharama flani.
Tecno yako inafanya kazi kama simu nyingine japo ubora tofauti utapata huduma ya
Internet
Kupiga simu
Picha( Hapa ndio uhayawani ulipojichimbia kwa sasa mtu anapiga selfie chooni,kageuza kalio tulione nk).
Note:
Kila mtu na mambo yake..
Nishajibu kwa Tecno yangu na nafurahia Jf kama boss mwenye Samsung na i phone.
 
Niliambiwa wachina wenyewe hawazitumii huko kwao, hizo ni kwa ajili ya Africa.
 
Back
Top Bottom