Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

TECNO,ITEL na kaka yao Infinix ni upuuzi tu

SUBIRI KIDOGO
 
Wote waliokugongea LIKE lazima watakuwa wanatumia TECNO...

Kilichonishangaza hata mjukuu wangu mpenzi Depal yumo..... Imeniuma sana.

Nyie watumiaji wa tecno mnaweza kunipa sababu moja kubwa kwamba ni kwanini mabaamedi wanazipenda sana TECNO?
 
Juzi nimepiga pcha na simu ya tecno ya mdogo angu ni brand new kabisa ila pcha imetoka kama tupo jikon tunajifukiza halaf muda huo mchana kweupe tupo road
Nkasema mbona tecno hawabadiliki wanashda gan?
Mi nachoipendea Tecno ni pale inapokaribia kuisha chaji, Bombadia ya Magufuli ikipita angani inajichaji mpaka FULL Battery
 
Kwa Anayeweza, Anayetaka na ukiona inafaaa...

Nunua Samsung Note-series,
Acha kabisaaa,
Hii ndio simu pekee yenye features ambazo huwezi kuzikuta kwenye simu nyingine yoyote duniani ikiwemo samsung S-series

Nashindwa nielezeeje ila kwa ufupi ile S-pen inarahisisha maisha sanaa,

Ina features ambazo theoretically ukiambiwa utaona za kazi gani, ila practically ukaishika hutokabali uikose tena.

Sasa sio ukanunue Note 1, Note 9 kuja 10 ndio kuna big changes, tusubiri Mwezi wa Saba wanaachia msumalj mwingine...

Samsung Note-series Hua ndio flagship za kufungia mwaka, sikuzote S ipo Nyuma ya N.

Nataka nihonge note 10. Hapa nasali tu nisije kuitamani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huo Ubavu US hana. Hivi wewe unajua mpaka saiv China anazalisha zaidi ya Nusu ya Simu zinazotumika duniani? Na mpaka 2025 China atakuwa anazalisha theluthi 2 au robo 3 ya simu zote zinazotumika duniani.

Halafu android ni Open source. Mfano Huawei pamoja na figisu zote ila bado anatumia android.

Issue sio unazalisha kiasi gani. Ni unazalisha simu za kiwango gani. iPhone ya bei nafuu zaidi ni dollar almost 400. Na hiyo ni imetoka mwaka huu. Kabla ilikuwa lazima uwe na million na laki saba ndio upate iphone ya bei nafuu.

Huawei kumkamata iphone inawezekana, lakini sio leo wala kesho. iPhone wana ecosystem nzuri sana ya apps zao. Na kuwa open source sometimes ni disadvantage, mtu unakuwa prone na security breach.
Mimi Nina iphone hapa ndio natumia, na Nina Samsung S9+ nimeiweka kabatini tu.

Tecno kuna siku ilistack wakati nachukua namba ya demu mmoja, nikasema situmii tena simu za kipumbavu
 
S 5 Galaxy Kaka inashindwa na TEcno zote zenye finger print utabisha bac

Mimi nina picha nmepiga kwa samsung s5 ila kwa kutumia Selective focus mode. Quality ya hizo picha hakuna takataka ya yoyote ya tecno inatia mguu.

Kwa aliyetumia hiyo mode kwenye simu za samsung kuanzia note 4 na s5 kwenda juu anaelewa nazungumza nn.
 
Issue sio unazalisha kiasi gani. Ni unazalisha simu za kiwango gani. iPhone ya bei nafuu zaidi ni dollar almost 400. Na hiyo ni imetoka mwaka huu. Kabla ilikuwa lazima uwe na million na laki saba ndio upate iphone ya bei nafuu.

Huawei kumkamata iphone inawezekana, lakini sio leo wala kesho. iPhone wana ecosystem nzuri sana ya apps zao. Na kuwa open source sometimes ni disadvantage, mtu unakuwa prone na security breach.
Mimi Nina iphone hapa ndio natumia, na Nina Samsung S9+ nimeiweka kabatini tu.

Tecno kuna siku ilistack wakati nachukua namba ya demu mmoja, nikasema situmii tena simu za kipumbavu

Mimi sizungumzii kuzalisha. Nazungumzia kuuza. Pieces za simu zinazouzwa na chinese firms
 
Tecno ,infinix, Dodge,itel ni simu za wasakatonge juani mzee kiukweli uwezi kuuza mkaa au kubeba mizigo siku nzima ukatumia i phone itapasuka alafu ushindwe kutengeneza bure

Hakuna anayekupinga. Ila shida ni pale mtu mwenye tecno anapoanza kujimeambafy na kuona tecno ina ubora zaidi kuliko makampuni kama iphone na samsung.
 
Mimi sizungumzii kuzalisha. Nazungumzia kuuza. Pieces za simu zinazouzwa na chinese firms

Ila Apple ndio kampuni inayoongoza kwa profits na kwa income. Point yangu ilikuwa iphone moja ni hizo midrange phones tatu, na Tecno Kama nane. Kwa hiyo ukiangalia factor ya mauzo tu, itaku-mislead
 
Nfugu yangu anatumja camon 11 karibu mwaka sasa sijawahi kuona analalamika sijui ku stack sijui simu kujipiga, sijui tochi kujiwasha hizo stori za kustuck mnazitoa wapi afu manafata mkumbo...

Mchina ambaye ndio anazalisha hizo tecno hauzi nchini kwake. Halafu ww unakuja kuisifia eti ni simu bora.
 
Ila Apple ndio kampuni inayoongoza kwa profits na kwa income. Point yangu ilikuwa iphone moja ni hizo midrange phones tatu, na Tecno Kama nane. Kwa hiyo ukiangalia factor ya mauzo tu, itaku-mislead

Kuongoza kwa mauzo siyo shida. Ila hayuko consistent kwenye hayo mauzo. Angalia mauzo yake ya kila mwaka ndio utajua nazungumzia nn.
 
Back
Top Bottom