Ulifeli hesabu, ndio maana huna unachoelewa, wachina wapo Billion 1.4. Na wamarekani wapo million 320. Ulitegemea idadi ya wachina isingeongezeka kwy products zao hayo masimu ya kichina yanafanya vizuri sana apo China kwy idadi ya watu billion 1.4. Someni hesabu muwe na akili sio kukariri kama Njiwa tuuuuu. Mbona iyo Huawei haifanyi vizuri kwy mataifa ya matajiri kama G7. Yaani ni sawa na Mama Ntilie unapata faida 30 Kwa siku unataka kushindana na mtu wa hotel ya five star [emoji93]. Wazungu wenye pesa zao hawashobokei izo takataka za kichina. Na ndio maana mchina anaweka Sheria ngumu sana ya kufungua soko lake la software. Anaogopa android na Google isitumike kwao, anajua watu wakielewa utamu wa android hawatatumia miprogram yao. Izo bihashara za kichina ni Kwa ajili ya watu masikini na sio kusema wanauza vitu vizuri,
Wakikujibu nitag,,,Wote waliokugongea LIKE lazima watakuwa wanatumia TECNO...
Kilichonishangaza hata mjukuu wangu mpenzi Depal yumo..... Imeniuma sana.
Nyie watumiaji wa tecno mnaweza kunipa sababu moja kubwa kwamba ni kwanini mabaamedi wanazipenda sana TECNO?
Hata tecno yangu ina A.v 9 pie. This series is another level ain't compare with previous series I've been used.Samsung Galaxy A10 smartphone runs on Android v9.0 (Pie) operating system. The phone is powered by Octa core (1.6 GHz, Dual core, Cortex A73 + 1.35 GHz, Hexa Core, Cortex A53) processor. It runs on the Samsung Exynos 7 Octa 7884 Chipset. It has 2 GB RAM and 32 GB internal storage.Samsung Galaxy A10 smartphone has a TFT display. It measures 155.6 mm x 75.6 mm x 7.9 mm and weighs 168 grams...
A 10
J3
Hata A 20 pia camera yake sio clear/tamu kama ya A 50...
Samsung Galaxy grand duos
Nazijua hizo
Spark series.Sasa A10 au A20 unafananisha natakataka gani ya tecno? Hebu tuwe serious kdg.
Una tumia tecno aina gani?Hata tecno yangu ina A.v 9 pie. This series is another level ain't compare with previous series I've been used.
At least sahivi akili zimekuijia.Siyo kila mtu anaweza kuoperate camera...
Huyu Depal anatuangusha sana Ila kuna jamaa hapo juu amemwambia bado hajapata danga la kueleweka [emoji28][emoji28]Sasa A10 au A20 unafananisha natakataka gani ya tecno? Hebu tuwe serious kdg.
[emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061]Watuache na tecno zetu bwana.
Nilimuuliza danga ni nini hakunijibu... Actually siwezi kudanga, sina mwili wa kuchezea... Hayo mambo ya udangaji anayaweza huyu TuttyfruityHuyu Depal anatuangusha sana Ila kuna jamaa hapo juu amemwambia bado hajapata danga la kueleweka [emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza 90k uchukue Samsung A20s..halafu acha upuuzi wa kuishi kuangalia watu wanasema nini ama wanafanya nini na wewe uigeMm nmeamua ninunue Nokia baada ya masimango yenu.
Nokia ipi yanifaa kwa kabajeti ka 260k?
Pole sana mkuu huna exposure ya nje ya nchi na wala hujui teknolojia.
Huawei ana simu kali na nzuri kuliko hayo mauchafu yako ya iphone na samsung
Vivo ana simu kali sana kama za nex , Teknolojia ambayo samsung na iphone bado, Hujatembea wewe na unategemea simu za kibongo bongo.
One plus series ni simu kali kuliko hizo samsung na iphone
Hebu jaribu kutembea kidogo.
Mimi binafsi siwezi beba simu ambayo kila mtu ana hiyo brand mfano samsung au iphone
Simu kama one plus 8 pro, Vivo nex dual screen, Huawei P 40 huwezi linganisha na takataka za samsung au iphone.
Wewe unanunua simu Tanzania, kuna simu hapa Tanzania haziletwi kutokana na umaskini wa watu ila mtandaoni unanunua.
Simu ya Vivo nex 1805 ya mwaka 2017 imeizidi hata samsung galaxy s10+ ya mwaka jana 2019
Jiheshimu sio lazima unitaje kwenye conversation zako za kipumbavu.Nilimuuliza danga ni nini hakunijibu... Actually siwezi kudanga, sina mwili wa kuchezea... Hayo mambo ya udangaji anayaweza huyu Tuttyfruity
😂😂😂😂Wakikujibu nitag,,,
NB:ninachotaka kusema hapa nilipo natumia kisimu Cha torch baada ya sim yangu Sumsung kuzingua,hela ya kusema ninunue TECNO and the like ninayo Ila sijataka kununua,nataka niendelee kufight nichukue dude Sumsung au iPhone haijalishi ni ya bei gan Ila iwe kati ya hizi brand 2,wazee wa TEKINO [emoji28][emoji28][emoji28] msikatee tamaa na nyie mtafika hizo level [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ananunua brand mkuu pate sifa mjiniPole sana mkuu huna exposure ya nje ya nchi na wala hujui teknolojia.
Huawei ana simu kali na nzuri kuliko hayo mauchafu yako ya iphone na samsung..
Hongera sana kwa kuwa muwazi. Kila mtu anamiliki simu kulingana na uwezo wake mwenye uwezo wa iphone 11 pro atanunua mwenye uwezo wa tecno hivyo hvyo.Mi natumia itel A16 na ndo uwezo wangu kiuchumi na pia naipenda
Hivi Simu ina mahusiano gani na kipato cha mtu? I oppose, kuna mtu humu ndani namjua ana hela kinyamaaa ila anatumia itel kitochi na Smart ya Tecno spark 2 If I'm not mistaken.Mi natumia itel A16 na ndo uwezo wangu kiuchumi na pia naipenda
Ss kama kudanga hauelewi maana yake na jamaa hakukukwambia maana yake ni nin unawezaje kusema Tuttyfruity hayo Mambo ya kudanga ndio anayaweza?![emoji848][emoji848][emoji848]Nilimuuliza danga ni nini hakunijibu... Actually siwezi kudanga, sina mwili wa kuchezea... Hayo mambo ya udangaji anayaweza huyu Tuttyfruity