Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Ongeza 90k uchukue Samsung A20s..halafu acha upuuzi wa kuishi kuangalia watu wanasema nini ama wanafanya nini na wewe uige
Samsung sijawahi kuielewa.
Kwa mishe zangu nahitaji simu walau iwe inatunza kiasi moto wa betri
 
Wakikujibu nitag,,,

NB:ninachotaka kusema hapa nilipo natumia kisimu Cha torch baada ya sim yangu Sumsung kuzingua,hela ya kusema ninunue TECNO and the like ninayo Ila sijataka kununua,nataka niendelee kufight nichukue dude Sumsung au iPhone haijalishi ni ya bei gan Ila iwe kati ya hizi brand 2,wazee wa TEKINO [emoji28][emoji28][emoji28] msikatee tamaa na nyie mtafika hizo level [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasi tunakuombea mapambano mema ili ufanikishe lengo lako la kumiliki simu takatifu...

Hao jamaa bado hawajanijibu
 
Sijui chochote kuhusu mabaamedi...

Inasikitisha babu mpenzi kamuacha mjukuu na simu ya calculator, ye anatamba na Xiaomi
Hebu tumiana mimi namba ya simu nikuEmPesa mshiko wa kununua simu yenye akili. Unatia aibu ukoo kutumia simu za wahudumu wa gesti
 
Hivi Simu ina mahusiano gani na kipato cha mtu? I oppose, kuna mtu humu ndani namjua ana hela kinyamaaa ila anatumia itel kitochi na Smart ya Tecno spark 2 If I'm not mistaken.
Mtu anaeona anaetumia si ya bei ya chini au ghali ni kwasababu ya kipato namshangaa sana.
 
Wakikujibu nitag,,,

NB:ninachotaka kusema hapa nilipo natumia kisimu Cha torch baada ya sim yangu Sumsung kuzingua,hela ya kusema ninunue TECNO and the like ninayo Ila sijataka kununua,nataka niendelee kufight nichukue dude Sumsung au iPhone haijalishi ni ya bei gan Ila iwe kati ya hizi brand 2,wazee wa TEKINO [emoji28][emoji28][emoji28] msikatee tamaa na nyie mtafika hizo level [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi usifight kununua simu. Ninachotaka kusema hapa ufikie level ukitaka kununua simu yoyote unaenda tu dukani unanunua. Sio kama hivi inabidi utumie kitochi huku unadunduliza upate simu ya kuwacheka wenye Tecno.
 
🤣🤣🤣🤣
Kabla ya kununua simu "brand" yoyote unapaswa kuelewa "specification" (uwezo wake); betri,uimara wa kioo,camera,maiki na spika...simu nyingi zinaharibika zikipata unyevunyevu au vumbi, pengine unatumia earphone zimelowa jack au sehemu ya kuchomeka charger imepatwa na maji,terminal zinagusana na kusababisha simu kutoa taarifa ya charging.
Note: Sio kila simu iliyoandikwa Tecno inatoka katika kampuni hiyo, wagonga copy wamejaa kila kona.
Natumia tecno kwa sasa ina miaka 5 tangu nimeinunua na ipo fit yani imetimia lifespan kama ilivyokadiriwa na niliinunua sababu ya specs zake.
 
Back
Top Bottom