Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Jamani mbishe msibishe ila iphone haiwez ikafananishwa na vitecno vyenu hivyo kwanza iphone zipo world wide sio kama vitecno ambavyo vipo africa.

Halafu hata ukisearch google simu bora 2 za dunia ni iphone na samsung we unayesema techno ni simu ni wewe na makubaliono yako ya kutumia simu mbovu kama hiyo.

Kwa wanaosema iphn ni ngumu kutumia ni haohao waliozoea tecno mimi huwez nambia niache kutumia iphone
Iphone4life
 
Pole sana mkuu!

Nawe utakuja miliki iphone.
Tabia ya kudharau simu za Tecno itawaponza milele baadhi yenu milele

Nashangaa hii tabia ikoje kwa sababu ni jambo la kushangaza Watanzania wa humu jf mnadharau simu za Tecno bila sababu zozote zile za msingi

Na watu wamekua wakibeza simu za tecno bila mantiki bila hoja ilhali taifa letu hata kile kichuma au kichwa cha kuchaji simu hatujaweza kuunda

Ni mambo ya ajabu sana katika makampuni yanayojitahidi kutengeneza na kuboresha bidhaa zao ni tecno miaka ya nyuma walikua na changamoto mbalimbali ila kwa sasa wapo vizuri

Angalia uimara wa simu,battery hata camera tunaweza kusema tecno sasa waweza mshindanisha hata na samsung

Kinachosikitisha ni kwamba zaidi ya asilimia 90% ya wana jamiiforum wanatumia tecno

Kama mnakumbuka kipindi ule ujumbe uliokua unatokea kwenye thread au comment za wana humu ule wa "SENT BY USING...

Jf kila mtu ana iphone na samsung ukipost tecno unapopolewa haya mnambie hivi kipind kile cha sent by using....mbona zaidi 90%users zilionekana tecno?hizo iphone au samsung zilipoteleaga wap?

ilionekana zaidi ya 90% ni tecno tu zilikua zinaonekana humu halafu hao hao watu watajifanya wana iphone na samsung tuacheni kufake maisha.

Tuache kubeza kampuni za watu na kuharibu brand za watu jamani mtakujaga kushtakiwa shauri yenu.
 
Viva Tecno...

Nilianzia tecno nilionunuliwa na baba, baba hiyo siku aliniuliza nikuletee simu aina gani nikamwambia naomba dk 2 nakujibu.

Nikamuuliza rafiki angu brand ya kuchukua kati ya Tecno na Huawei, akasema chukua Tecno.
Samsung sikuiweka sababu nilikuwa naona ya mama jinsi ilivyo na camera mbaya mbaya tu

Mpaka sahivi natumia tecno ninazo nunua mwenyewe, sijawahi kuwaza kuhama sijui Tecno wameniroga 😩😩
Ndivyo unavyowapa moyo tecno users!
 
Hiyo statement ya mwisho inadhihirisha kuwa hujui chochote.

China Huawei ndo baba lao, Tena baada ya figisu kuanza ndio mauzo yake yameongezeka balaa. Huyo Iphone unayesema anatumika na mchina tukipanga top 5 anashika mkia.
View attachment 1461313Hata ukija kwa soko la dunia nzima, Kampuni za china pekee zinachukua nusu ya soko.
Ulifeli hesabu, ndio maana huna unachoelewa, wachina wapo Billion 1.4. Na wamarekani wapo million 320. Ulitegemea idadi ya wachina isingeongezeka kwy products zao hayo masimu ya kichina yanafanya vizuri sana apo China kwy idadi ya watu billion 1.4. Someni hesabu muwe na akili sio kukariri kama Njiwa tuuuuu. Mbona iyo Huawei haifanyi vizuri kwy mataifa ya matajiri kama G7.

Yaani ni sawa na Mama Ntilie unapata faida 30 Kwa siku unataka kushindana na mtu wa hotel ya five star [emoji93]. Wazungu wenye pesa zao hawashobokei izo takataka za kichina. Na ndio maana mchina anaweka Sheria ngumu sana ya kufungua soko lake la software.

Anaogopa android na Google isitumike kwao, anajua watu wakielewa utamu wa android hawatatumia miprogram yao. Izo bihashara za kichina ni Kwa ajili ya watu masikini na sio kusema wanauza vitu vizuri,
 
Tabia ya kudharau simu za Tecno itawaponza milele baadhi yenu milele

Nashangaa hii tabia ikoje kwa sababu ni jambo la kushangaza Watanzania wa humu jf mnadharau simu za Tecno bila sababu zozote zile za msingi

Na watu wamekua wakibeza simu za tecno bila mantiki bila hoja ilhali taifa letu hata kile kichuma au kichwa cha kuchaji simu hatujaweza kuunda

Ni mambo ya ajabu sana katika makampuni yanayojitahidi kutengeneza na kuboresha bidhaa zao ni tecno miaka ya nyuma walikua na changamoto mbalimbali ila kwa sasa wapo vizuri

Angalia uimara wa simu,battery hata camera tunaweza kusema tecno sasa waweza mshindanisha hata na samsung

Kinachosikitisha ni kwamba zaidi ya asilimia 90% ya wana jamiiforum wanatumia tecno

Kama mnakumbuka kipindi ule ujumbe uliokua unatokea kwenye thread au comment za wana humu ule wa "SENT BY USING...

Jf kila mtu ana iphone na samsung ukipost tecno unapopolewa haya mnambie hivi kipind kile cha sent by using....mbona zaidi 90%users zilionekana tecno?hizo iphone au samsung zilipoteleaga wap?

ilionekana zaidi ya 90% ni tecno tu zilikua zinaonekana humu halafu hao hao watu watajifanya wana iphone na samsung tuacheni kufake maisha.

Tuache kubeza kampuni za watu na kuharibu brand za watu jamani mtakujaga kushtakiwa shauri yenu.
Hatuzidharau ila watengenezaji wa simu za Techno,Infinix na Itel wamekosa Ubunifu tu,wametngeneza simu mbaya Ever.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema dah yani tekino mna enjoy chaji.

Mimi na samsung yangu kwanza picha mbaya chaji sasa.... yan kila nikifika kwenye acces na socket najazia jazia chaji.
Samsung aina gani? Itaje hapa labda utakuwa uliuziwa zile za Uganda... jina nje Samsung ndani Mucor [emoji1787][emoji1787]
 
Samsung zina camera mbaya, sikuwahi kuzipenda tokea naichezea ya mama...ila hii A series imenibamba [emoji847] esp. A 50 naiadmire ila sijafatilia ukaaji wake wa chaji

Tekno langu likichaji alfajiri tukutane usiku
Samsung haijawahi kuniangusha, nilianzia kitochi nkahamia Trend lite, nkapanda J5 (2016), saiv nna A50 na nataka niende A71. Wanaodis Samsung either hawajatumia au wametumia feki.
 
Wote waliokugongea LIKE lazima watakuwa wanatumia TECNO...

Kilichonishangaza hata mjukuu wangu mpenzi Depal yumo..... Imeniuma sana.

Nyie watumiaji wa tecno mnaweza kunipa sababu moja kubwa kwamba ni kwanini mabaamedi wanazipenda sana TECNO?
Sijui chochote kuhusu mabaamedi...

Inasikitisha babu mpenzi kamuacha mjukuu na simu ya calculator, ye anatamba na Xiaomi
 
Samsung haijawahi kuniangusha, nilianzia kitochi nkahamia Trend lite, nkapanda J5 (2016), saiv nna A50 na nataka niende A71. Wanaodis Samsung either hawajatumia au wametumia feki.
Wanaodiss Samsung wengi ni watumiaji wa Tecno wereva.
 
Hahah au ako nyuma ya keyboard za A10/20 lakini kwa kuwa hatumuoni basi fujo sana tu.
Samsung Galaxy A10 smartphone runs on Android v9.0 (Pie) operating system. The phone is powered by Octa core (1.6 GHz, Dual core, Cortex A73 + 1.35 GHz, Hexa Core, Cortex A53) processor. It runs on the Samsung Exynos 7 Octa 7884 Chipset. It has 2 GB RAM and 32 GB internal storage.Samsung Galaxy A10 smartphone has a TFT display.

It measures 155.6 mm x 75.6 mm x 7.9 mm and weighs 168 grams. The screen has a resolution of 720 x 1520 pixels and 271 ppi pixel density. It has an aspect ratio of 19.5:9 and screen-to-body ratio of 81.16 %.

On camera front, the buyers get a 5 MP f/2.0 Primary Camera and on the rear, there's an 13 MP camera with features like Digital Zoom, Auto Flash, Face detection, Touch to focus. It is backed by a 3400 mAh battery. Connectivity features in the smartphone include WiFi, Bluetooth, GPS, Volte, and more.

Hiyo ni mid range phone usiombee ukutane na Flagship sasa.
 
Mm simu yoyoye natumia isipokuwa inayo tumia mediateck tuuuu. Usiulize kwa nn
 
Tunakoelekea simu itakua sio ufahari Tena mtu unatumia simu ya gharama kuliko kipato chako Cha kawaida alafu matatizo yakikusonga unasema Mungu hakupendi[emoji848]
Sasa unaipataje hiyo simu km ni juu ya kipato chako au unakuwa umeiba?[emoji2]
 
Pole sana mkuu huna exposure ya nje ya nchi na wala hujui teknolojia.

Huawei ana simu kali na nzuri kuliko hayo mauchafu yako ya iphone na samsung

Vivo ana simu kali sana kama za nex , Teknolojia ambayo samsung na iphone bado, Hujatembea wewe na unategemea simu za kibongo bongo.

One plus series ni simu kali kuliko hizo samsung na iphone

Hebu jaribu kutembea kidogo.

Mimi binafsi siwezi beba simu ambayo kila mtu ana hiyo brand mfano samsung au iphone

Simu kama one plus 8 pro, Vivo nex dual screen, Huawei P 40 huwezi linganisha na takataka za samsung au iphone.

Wewe unanunua simu Tanzania, kuna simu hapa Tanzania haziletwi kutokana na umaskini wa watu ila mtandaoni unanunua.

Simu ya Vivo nex 1805 ya mwaka 2017 imeizidi hata samsung galaxy s10+ ya mwaka jana 2019
Mzee wa 'certified idiot'
 
Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflnix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
Kafanye homework yako vzr, Huawei ni brand kubwa kwenye cm kuliko Samsung
 
Back
Top Bottom