Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflnix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
Huawei mtoe hapo
 
✓Usiangalie kuuza, angalia ubunifu. USA akikataaa simu za kichina zisitumie Android zimekufa zote bihashara za mchina

Sent using Jamii Forums mobile app

Huo Ubavu US hana. Hivi wewe unajua mpaka saiv China anazalisha zaidi ya Nusu ya Simu zinazotumika duniani? Na mpaka 2025 China atakuwa anazalisha theluthi 2 au robo 3 ya simu zote zinazotumika duniani.

Halafu android ni Open source. Mfano Huawei pamoja na figisu zote ila bado anatumia android.
 
Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflnix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
Unaifahamu huawei kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatumia nokia ipi mkuu nawakubali sana na android one full update
Mwaka juzi nilienda sehemu, 90% ya watu wa huko wanatumia iPhone, 10% iliyobaki ni Samsung, Nokia, HTC, Sony. Yaani hata Huawei sikuiona.

Nilianza na HTC, nimekuwa mteja wa Nokia, tena mwaminifu sana, naipenda tu bila hata sababu za msingi.
 
Mleta maada Acha kutumia Tecno , ni simu moja kopo Sana , tafuta hela ununue simu nzuri na imara , Tecno , itel na mdogo wao infinix hzo ni toy, yaan mi nikiona mtu ana hzo simu huwa namuona kama uso wa mbuzi hvi ,

nunua brand hzi...iPhone, Huawei , Samsung , opppo , Xiaomi na Sony....hzo ndo top five most trusted world wide, Kwanza ukienda kununua China simu za Tecno, unapimiwa kwemye ndoo na nyongeza juu
Hahahahaa eti tecno unapimiwa kwenye ndoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrika wakipata vijipesa kidogo si kwa kujivuna huko
 
Kiongozi iphone na samsung hakuna kitu

Tatizo Tanzania hakuna soko ndio maana simu haziletwi sana

Brand nzuri ni nyingi sana

Makampuni kama xiomi ya simu kali kuliko hizo

One plus series au vivo ni next level
Picha iko wap?
 
Viva Tecno...

Nilianzia tecno nilionunuliwa na baba, baba hiyo siku aliniuliza nikuletee simu aina gani nikamwambia naomba dk 2 nakujibu.

Nikamuuliza rafiki angu brand ya kuchukua kati ya Tecno na Huawei, akasema chukua Tecno.
Samsung sikuiweka sababu nilikuwa naona ya mama jinsi ilivyo na camera mbaya mbaya tu

Mpaka sahivi natumia tecno ninazo nunua mwenyewe, sijawahi kuwaza kuhama sijui Tecno wameniroga [emoji30][emoji30]
Wewe unalimbwata la tekino. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflnix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
Anyway umewazidi nini sasa hapo watecno au Chinese phone Redmi panga hizo simu zako ubungo hazimnyimi usingizi Tecno mwenye Battery ya Mamp 6000 na hahitaji power bank
I REAL ENJOY CHINESE 4NE
 
Tecno? Ile cm mtu ukiwa mweusi kamera yake inakutoa mweupe ka umemwagiwa tindikali usoni? Sijawahi kutumia hiyo kampuni na naomba Mungu aniepushilie mbali.

Sent with Samsung Galaxy A10 [emoji1783]
Si kweli
 
Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflnix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
kwenye HUAWEI mtizamo wako umeingia chaka.
 
Tuna dharau vya wenzetu wakati hata radio call au yale masimu ya mezani hatuwezi kitengeneza?

Tumepumbazwa mno mtu mwenye iphone ya laki 6_7 kumcheka mwenye samsung ya laki tano na mwenye samsung ya laki tank kumcheka mwenye tecno ya laki tatu..
Kama hapo karibu kuna grocery kapate kinywaji nakuja kulipa , Hawa wanaodharau simu za watu hakika umewapa za PUA
 
Tekinoooo
Sema dah yani tekino mna enjoy chaji.

Mimi na samsung yangu kwanza picha mbaya chaji sasa.... yan kila nikifika kwenye acces na socket najazia jazia chaji.
 
Juzi nimepiga pcha na simu ya tecno ya mdogo angu ni brand new kabisa ila pcha imetoka kama tupo jikon tunajifukiza halaf muda huo mchana kweupe tupo road
Nkasema mbona tecno hawabadiliki wanashda gan?
Siyo kweli weka picha hapo tuione[emoji3063]
 
Back
Top Bottom