Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hazigandi tena sa hvi zipo vizuri sana tecno basi tu kwa kuwa wanatumia mediateki na hawatoi update ila kwa mtumiaji wa simu usie na mambo mengi tecno zipo vizuri maana sijawahi ona mtumiaji wa tecno analalama matatizo yanayoandikwa humu labda zile tecno za mwanzoni..

Humu watu wanafata mkumbo tu mtu ana samsung s3 afu anachoonga sio poa...

NB NATUMIA NOKIA 8 SIRROCO
Hivi tecno bado zinaganda?
 
View attachment 1461251
captured by Tecno mkulungwa02 we kijana ni mbea mbea sana...ulisema Tecno ya mdogo wako sijui bla bla abt camera
Camera sio bora zoom hizo gari uone zinaonekanaje
IMG_3491.JPG

Then uje uzoom hizi uone zinavyoonekana
 
Hiyo hapo picha kutoka TECNO POUVOIR 3+ zooom utakavyo majani ya ng'ombe hayo
IMG_20200404_161726_322.jpg
 
Hazigandi tena sa hvi zipo vizuri sana tecno basi tu kwa kuwa wanatumia mediateki na hawatoi update ila kwa mtumiaji wa simu usie na mambo mengi tecno zipo vizuri maana sijawahi ona mtumiaji wa tecno analalama matatizo yanayoandikwa humu labda zile tecno za mwanzoni..

Humu watu wanafata mkumbo tu mtu ana samsung s3 afu anachoonga sio poa...

NB NATUMIA NOKIA 8 SIRROCO
Hahah au ako nyuma ya keyboard za A10/20 lakini kwa kuwa hatumuoni basi fujo sana tu.
 
Tunakoelekea simu itakua sio ufahari Tena mtu unatumia simu ya gharama kuliko kipato chako Cha kawaida alafu matatizo yakikusonga unasema Mungu hakupendi[emoji848]
 
[emoji769] Tatizo naongea na mtoto aliezaliwa utawara wa Chinese. Ndio màana unamuonaa Chinese anakusaidia, Kama vifaaa vya Corona anatengeneza vifaaa vyenye ubora mdogo. Endelea kumuamini mchainisi wako, maaana ndio ulimwengu uliozaliwa. Mchina mwenyewe anatumia iPhone [emoji769]

Hiyo statement ya mwisho inadhihirisha kuwa hujui chochote.

China Huawei ndo baba lao, Tena baada ya figisu kuanza ndio mauzo yake yameongezeka balaa. Huyo Iphone unayesema anatumika na mchina tukipanga top 5 anashika mkia.
Screenshot_20200528-075848.jpg
Hata ukija kwa soko la dunia nzima, Kampuni za china pekee zinachukua nusu ya soko.
 

Attachments

  • Screenshot_20200528-075848.jpg
    Screenshot_20200528-075848.jpg
    33.5 KB · Views: 10
Samsung zina camera mbaya, sikuwahi kuzipenda tokea naichezea ya mama...ila hii A series imenibamba [emoji847] esp. A 50 naiadmire ila sijafatilia ukaaji wake wa chaji

Tekno langu likichaji alfajiri tukutane usiku
Samsung gani hiyo yenye camera mbaya? Em taja toleo.
 
Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflnix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
Tabia ya kudharau simu za Tecno itawaponza milele baadhi yenu milele

Nashangaa hii tabia ikoje kwa sababu ni jambo la kushangaza Watanzania wa humu jf mnadharau simu za Tecno bila sababu zozote zile za msingi

Na watu wamekua wakibeza simu za tecno bila mantiki bila hoja ilhali taifa letu hata kile kichuma au kichwa cha kuchaji simu hatujaweza kuunda

Ni mambo ya ajabu sana katika makampuni yanayojitahidi kutengeneza na kuboresha bidhaa zao ni tecno miaka ya nyuma walikua na changamoto mbalimbali ila kwa sasa wapo vizuri

Angalia uimara wa simu,battery hata camera tunaweza kusema tecno sasa waweza mshindanisha hata na samsung

Kinachosikitisha ni kwamba zaidi ya asilimia 90% ya wana jamiiforum wanatumia tecno

Kama mnakumbuka kipindi ule ujumbe uliokua unatokea kwenye thread au comment za wana humu ule wa "SENT BY USING...

Jf kila mtu ana iphone na samsung ukipost tecno unapopolewa haya mnambie hivi kipind kile cha sent by using....mbona zaidi 90%users zilionekana tecno?hizo iphone au samsung zilipoteleaga wap?

ilionekana zaidi ya 90% ni tecno tu zilikua zinaonekana humu halafu hao hao watu watajifanya wana iphone na samsung tuacheni kufake maisha.

Tuache kubeza kampuni za watu na kuharibu brand za watu jamani mtakujaga kushtakiwa shauri yenu.
Mimi natumia Techno. Na sijaona tatizo lake maana kama mtandaoni nami nimo kama hao kwenye Samsung!
 
Back
Top Bottom