Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Sema dah yani tekino mna enjoy chaji.

Mimi na samsung yangu kwanza picha mbaya chaji sasa.... yan kila nikifika kwenye acces na socket najazia jazia chaji.
Samsung zina camera mbaya, sikuwahi kuzipenda tokea naichezea ya mama...ila hii A series imenibamba 🤗 esp. A 50 naiadmire ila sijafatilia ukaaji wake wa chaji

Tekno langu likichaji alfajiri tukutane usiku
 
Mleta maada Acha kutumia Tecno , ni simu moja kopo Sana , tafuta hela ununue simu nzuri na imara , Tecno , itel na mdogo wao infinix hzo ni toy, yaan mi nikiona mtu ana hzo simu huwa namuona kama uso wa mbuzi hvi ,

nunua brand hzi...iPhone, Huawei , Samsung , opppo , Xiaomi na Sony....hzo ndo top five most trusted world wide, Kwanza ukienda kununua China simu za Tecno, unapimiwa kwemye ndoo na nyongeza juu
Porojo hizo
 
captured by Tecno mkulungwa02 we kijana ni mbea mbea sana...ulisema Tecno ya mdogo wako sijui bla bla abt camera
 

Attachments

  • IMG_20200520_103425.jpg
    IMG_20200520_103425.jpg
    50.1 KB · Views: 10
Sema tu ulitaka kituonesha hako kaeneo basi cjui kwenu hapo,nimetumia tecn nazjua haijawah kuwa camera ya hvyo
Unaona ulivyo na akili mbovu? Ok, kosa lako lilikuwa ni kutumia tecno ya elfu 85, me yangu ni tecno lakini sio ya pesa hiyo
 
Jibu swali 1 ni tecno au cyo tecno?
Tecno hata ukinunua ya m7 Yale Yale tu
Kuanzia kustack na matatzo mengne kama yote
Nina mashaka na akili yako. Comment yangu ilishaonesha jibu la simu nayotumia lkn bado unakazana kuuliza....

We ni aina ya wale watu ambao mpk leo wana mentality za oh mama wa kambo wanatesa and staffs like...huu ni ujinga

BTW I'm not here to support or oppose any side (brand) ila najaribu kukuoneshea the truth kwamba hata mwenye iPhone six nae atajiproud for the sake of brand name (apple) lakini Simu yake haiwezi kuwa sawa na yule mwenye iPhone 8 or X

Good morning!!
 
Huo Ubavu US hana. Hivi wewe unajua mpaka saiv China anazalisha zaidi ya Nusu ya Simu zinazotumika duniani? Na mpaka 2025 China atakuwa anazalisha theluthi 2 au robo 3 ya simu zote zinazotumika duniani.

Halafu android ni Open source. Mfano Huawei pamoja na figisu zote ila bado anatumia android.
[emoji769] Mbona alivyotaka kufungiwa alilia lia na kujidharirisha[emoji769]
 
Halafu baada ya hapo. Nini kimejiri?
[emoji769] Tatizo naongea na mtoto aliezaliwa utawara wa Chinese. Ndio màana unamuonaa Chinese anakusaidia, Kama vifaaa vya Corona anatengeneza vifaaa vyenye ubora mdogo. Endelea kumuamini mchainisi wako, maaana ndio ulimwengu uliozaliwa. Mchina mwenyewe anatumia iPhone [emoji769]
 
Nfugu yangu anatumja camon 11 karibu mwaka sasa sijawahi kuona analalamika sijui ku stack sijui simu kujipiga, sijui tochi kujiwasha hizo stori za kustuck mnazitoa wapi afu manafata mkumbo...
Jibu swali 1 ni tecno au cyo tecno?
Tecno hata ukinunua ya m7 Yale Yale tu
Kuanzia kustack na matatzo mengne kama yote
 
Back
Top Bottom