Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

Pole sana mkuu huna exposure ya nje ya nchi na wala hujui teknolojia.

Huawei ana simu kali na nzuri kuliko hayo mauchafu yako ya iphone na samsung

Vivo ana simu kali sana kama za nex , Teknolojia ambayo samsung na iphone bado, Hujatembea wewe na unategemea simu za kibongo bongo.

One plus series ni simu kali kuliko hizo samsung na iphone

Hebu jaribu kutembea kidogo.

Mimi binafsi siwezi beba simu ambayo kila mtu ana hiyo brand mfano samsung au iphone

Simu kama one plus 8 pro, Vivo nex dual screen, Huawei P 40 huwezi linganisha na takataka za samsung au iphone.

Wewe unanunua simu Tanzania, kuna simu hapa Tanzania haziletwi kutokana na umaskini wa watu ila mtandaoni unanunua.

Simu ya Vivo nex 1805 ya mwaka 2017 imeizidi hata samsung galaxy s10+ ya mwaka jana 2019
typical African with consumption mindset

subiri mtengeneze vya kwenu ndyo uvisifie kwa staili hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndie mshamba sijawahi kuona.

Wewe ndio unaambia watu watafte exposure wakati wewe huna? Vivo nex uilinganishe na s10+? Una akili timamu kweli? Hizo ranking umezitoa wapi?.

Simu hazilinganishwi umekaa kwenu mbagala maji matitu huko na vivo nex yako ukasema hii simu ni nzuri kuliko simu zote Duniani.

Eti vovo nex haziletwi Tanzania kwa sababu hatuwezi kununua, hivi akili yako inafanya kazi sawa sawa? Watu wananunua simu ya Dollar 1399 washindwe simu ya Dollar 600 au 700?

Tafta elimu ya kutosha kuhusu tecnolojia ya simu, soma rankings za simu zinazotambulika Duniani sio za, achana na ulimbukeni. Hizi stori ya kitoto wadanganye ndugu zako huko.
jinsi unavyotoka povu kwa kutetea Mali ya beberu utadhani una hisa kwenye kampuni yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndio mnaishiaga kwenda kuwasumbua wachungaji na manabii et mnatafta wachumba kumbe we mwenyewe ndo unajiroga.

Kwan kuna uhusiano gan wa hisia za mtu na sim anayomiliki?
Ebu acha bas kujizalilisha na kutuonyesha jinsi gan ulivyo cheap
Mimi niwe cheap alafu ikuume wewe huoni kama una tatizo. Pambana na tecno yako bibie
 
Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflnix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
Huawei umetudanganya
 
Huwezi kuona... Ila hiyo Oppo ni mashine hatari...
Vitu vingine ni lazima uwe umevitumia ndio utoe tofauti au unnaweza kua kwenye position nzuri ya kutoa maoni. Sijatumia oppo fond x. Kwenye specifications sijaona tofauti. Sasa aijui wewe hiyo tofauti umeiona wapi?

Na hata hivyo kwenye specifications s20 ultra ana upper hand kwa find x.
 
Wewe una simu gani?
Hiyo
20200527_183012.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa. Ila labda apple waache kutoa products mpya ndo itakua kama unavyosema.

Kwa miaka mingi sana competition ilikuwa ni kati ya Samsung na Apple. Ila kuanzia miaka ya 2018 huawei akaingilia kati na battle ikawa kati ya huawei na Samsung. Yaani huawei alimpita apple na kukaa nafasi ya pili kwenye market shares. Wakati yanatokea hayo apple alikuwa hatoi simu?

Hapo vivo na Xiaomi ukiangalia ongezeko lao la mauzo kila mwaka ndio utajua nasema nini.

Mfano Oppo ana simu inaitwa Oppo reno ace inauzwa $350. Ina features za simu ambazo zinauzwa $1000.
 
Vitu vingine ni lazima uwe umevitumia ndio utoe tofauti au unnaweza kua kwenye position nzuri ya kutoa maoni. Sijatumia oppo fond x. Kwenye specifications sijaona tofauti. Sasa aijui wewe hiyo tofauti umeiona wapi?

Na hata hivyo kwenye specifications s20 ultra ana upper hand kwa find x.

Nazungumzia Oppo find X2 pro siyo oppo find x
 
Back
Top Bottom