Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simu za Tecno zishapewa brand ya dharau sana sio kama ni mbaya kihivo. Mfano ni kama sehemu moja kwa hapa inaitwa BUZA sio kwamba ni kubaya ni kuzuri tu na kuna nyumba kali kinoma na biashara mzuri, Ila ndo hivo wanadam kitu wakiamuwa kukitia hila ni hila tu.
 
Haya maneno ya asiyezijua simu.
Apple/iphone=security, status kwa mtumiaji vingine wanakimbizana na wenzake
Samsung=displays nzuri processor zinazotafuna umeme insecurity compare to iphones

Mimi nisie ijua simu naele2a hayo wewe unae ijua simu niambie unapata nini cha ziada? Kucheza magemu mazito bila simu kuganda? Really?

For note series nitakubali ile spen inafanya mengi wewe ni yapi ya ziada unayoyajua
 
Kweli simu bado huzijui.
 
Jichange pesa achana na takataka kama samsung na iphone kila mtu anayo

Nunua simu unique hata ukitoa watu wanatikisika na hawawezi kuipata kirahisi

Simu kama. Vivo nex dual screen

- Huawei P40 pro
- Nokia 8 siroco
- Huawei nova 5T
- One plus 8 pro

Vivo nex 1805,Hii ni ya mwaka 2017 ila ni kali kuliko hata samsung za mwaka 2020 kwa matumizi na teknolojia,ni super technology

Achana na mauchafu samsung au iphone kila mtu anayo kama sare za shule
naomba utaje bei za izo simu ulizo mention apo
 
simu ukiwasha data ova upo mataa mpaka mesegii nlza mitandaoni ziingine zote ndo unaanza kutumia
 
bro wangu alikuwa na camon moja ivi nadhan ile ilikuwa special kwa wanawake maana ukipiga picha unatoka kama umepakwa foundation
 
Pole sana mkuu huna exposure ya nje ya nchi na wala hujui teknolojia.

Huawei ana simu kali na nzuri kuliko hayo mauchafu yako ya iphone na samsung

Vivo ana simu kali sana kama za nex , Teknolojia ambayo samsung na iphone bado, Hujatembea wewe na unategemea simu za kibongo bongo.

One plus series ni simu kali kuliko hizo samsung na iphone

Hebu jaribu kutembea kidogo.

Mimi binafsi siwezi beba simu ambayo kila mtu ana hiyo brand mfano samsung au iphone

Simu kama one plus 8 pro, Vivo nex dual screen, Huawei P 40 huwezi linganisha na takataka za samsung au iphone.

Wewe unanunua simu Tanzania, kuna simu hapa Tanzania haziletwi kutokana na umaskini wa watu ila mtandaoni unanunua.

Simu ya Vivo nex 1805 ya mwaka 2017 imeizidi hata samsung galaxy s10+ ya mwaka jana 2019
Waambie mkuu binafsi naona tumekuwa washamba kiasi kwamba mtu kumiliki iPhone ama Samsung ndio anaonekana mjanja....binafsi nimekwisha sema siununui simu hizi ambazo kila mtu anatumia...ukiagiza simu nzuri nje unapata kwa bei nzuri halafu unakuta almost unayo peke yako kitaa....
 
Smart phone 3 bora Dunia
1)iPhone
2) sumsung
3)Sony experia
NA hapo Sony na sumsung wanashinda
wangombania namba mbili

Smart phone za hovyo 3 Dunia
1)Tecno
2)Huawei
3)iflnix
Mimi sijawai kutumia simu ya smart ya kichina toka simu za kawaida kipindi hiko nilikuwa natumia Nokia sumsung blackberry hizo ndio simu zangu na Sasa natumia Sony kwa matumizi ya kawaida kwa sababu inabebeka na iPad tablet ni ya nyumbani
Umekoment kwa upo na mapenzi yako ila huko duniani sivyo.
1.Samsung
2.Iphone
3.Huawei.
 
Back
Top Bottom