Hii tabia wanaume wengi wanayo

Hii tabia wanaume wengi wanayo

Suala si tamaa tu, mwanamme ni mtu anayependa ku-sample vitu, kama demu ni mzuri na mtundu kitandani....huyo ataliliwa mpaka kiama na zawadi zitazidi kila kukicha, atabembelezwa weeeeeee mpaka ajihisi hakuna mwanamke mwingine mzuri dunia hii ila ni yeye tu. Mara nyingi wanaume tunakata tamaa na kupunguza kasi ya kufukuzia baada ya kugundua kuwa mwanamke uliyekuwa unamfukuzia ni mbovu (kunuka papuchi, kunuka mdomo, kunuka makwapa, kunuka mavi, papuchi imepanuka sana baada ya kuchezewa mno, kutojuwa kucheza kitandani, na kuwa omba omba....yaani kila goli unalia kutaka vitu/hongo) kwa hali hii, mwanamke hata awe mzuri kivipi LAZIMA mwanamme atakata kamba tu. Wanawake jitunzeni na kurudisha heshima zenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umeua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii tabia ni kwa wale wanaume wanaokutamani,ambao wako wengi tu na unakuta kiuhalisia sio kwamba anakupenda bali anachohitaji ni kufanya na wewe tendo la ndoa na kisha anaendelea na maisha yake.Omba Mungu akupe macho ya rohoni ili uweze kumjua mwanaume anaekupenda kwa dhati.LAKINI,huoni pia hapo kinachokuponza ni kukubali kufanya mapenzi na mtu kabla ya ndoa..?
 
Ni kweli. Hao ni wanaume wenye tamaa. Ukishawapa tamuu basi mchezo umeisha hapo maana wameshapata walichokipata.

Lakin mwanaume mwenye malengo hachoki kuwa na ww.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti hazitumiki. Lol.
Wahenga si unawajua maneno yao Hajar, maana wanayaweka ki mafumbomafumbooo! Kwa mfano kuna viatu vya wazi vinaitwa sendoz wahenga wanaviita MAKUBAZI sasa hebu soma hilo neno kinyumenyume uone wahenga walivyo na makusudi😀😀😀
 
CutLove,
Pole kwa kukwazwa, kwa taarifa yako wanaume wengi wanapomfukuzia mwanamke huwa na sababu mbalimbali, kubwa ya kwanza kwa walio wengi ni kuwa na wewe kimwili, wengi wakiridhika 'kimwili' na wewe huenda wakaenda hatua zaidi kama kujenga na kuendeleza urafiki na hatimaye ndoa na kujenga familia. Wengi hawana hisia za kimapenzi kama walizonazo wanawake bali walizonazo ni hisia za 'kimwili' na si za kimapenzi. Hata kama atatuma zawadi, sms za mara kwa mara kinachomsukuma kwanza mwanaume ni hisia za ngono au kuwa 'kimwili' na wewe. Asiporidhika/asipofurahia na wewe 'kimwili', hana sababu ya kurudi tena kwako, au kuhangaika tena wewe, hasa kama ulimpa shida wakati anakufukuzia, kwsababu anaona akilinganisha na alivyohangaika na wewe na jinsi mlivyokuwa 'kimwili' anaona hailipi.
 
Wahenga si unawajua maneno yao Hajar, maana wanayaweka ki mafumbomafumbooo! Kwa mfano kuna viatu vya wazi vinaitwa sendoz wahenga wanaviita MAKUBAZI sasa hebu soma hilo neno kinyumenyume uone wahenga walivyo na makusudi😀😀😀
Hahahaaaa. Kabisaaaaa.

Haya bana. Ila ngoja nikavae miwani kwanza Sesten ndipo nije kusomea hicho kinyume nyume. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Hahahaaaa. Kabisaaaaa.

Haya bana. Ila ngoja nikavae miwani kwanza Sesten ndipo nije kusomea hicho kinyume nyume. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Tena uvae miwani kama ya jamaa wa kuchomelea vyuma maana wahenga maneno yao yanaweza kukuharibu macho😎😎😎
 
Sasa kwa nini umtese mtu usiyempenda si bora umwambie ukweli kuwa sista sikupendi ila nataka kibunye kuliko kumpamba na kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa??
Hhaha, mkuu iyo kauli ukienda nayo moja kwa moja huambulii kitu si unajua nyie wadada mnapenda kubembelezwa na kusifiwa. Kwaiyo watu ndo wanaitumia kama advantage.
 
Pole sana...

Maua hunyauka, story huisha na kumbukumbu husahaulika... hii inamanisha kila kitu ni cha kuoita tuu...

Ila inategemea, mimi mbona nampenda mahondaw wangu kama vile ndiyo kwanza namuona leo...

Cc: mahondaw

Thanks sweetheart! I'm so lucky kwakweli!! God bless you smart
 
Back
Top Bottom