Hii tabia wanaume wengi wanayo

Hii tabia wanaume wengi wanayo

Sijajua wengine ila kwa upande wangu speed ni ile ile mwanzo mwisho.
 
Duu ndo maana kakuchoka mapema hivyo asee pole vipi saa hivi ushapata mwingine?
Changia mada,hii ni tabia mlio nayo wengi,unajifanya kupenda, ukishamvulia kazi imeisha anaanza na mambo mengine au anaanza kutafuta mwanamke mwingine
 
Mimi mambo ya kusumbuana ndio sipendi..sasa tunasumbuana miezi halaf siku unanipa mchezo nakuta game yenyewe hamna halaf mashine nayo kama ya nyanguni zile expectations zangu zinekuwa zero...nikae kusubiri nn

Wanawake wengi nliodumu nao ktk mahusiano hatukusumbuana pale nlipoelezea hisia zangu
 
Ushafunga goli na kushinda game unashangilia, kukimbia kimbia uwanjani ya nini... wanaume tunapenda challenge tu, mimi nitakufuata hata mwaka mzima, siku ukinikubalia tu hamu inaanza kupungua. Na nisipokuchapa ndani ya wiki 2 toka umenikubali basi nshakueka kapuni nina project mpya
NB: ngono zembe inaua
 
Kwa hiyo ulipokuwa unawaeleza tu hisia zako unaenda kupewa mzigo
 
Nadhani wanaokimbiwa ni baadhi ya wanawake wa DAR,Kwa Watoto wa Kitanga ukishapewa hautoki.
 
Kumbe huwa hampendi,maana nilitegea baada ya kufanikiwa kumpata umpendae ndo utaongeza upendo kwa nini upungue baada ya kupata

Tatzio lenu nyie ndio mnabugi yaan mnaamini kumsumbuwa mwanaume ndo kumfanya akupende ,kumbe kadri unavyomsumbua ndivyo anavyopunguza upendo ,na akija kukulala ndo anakuona wakawaida zaidi na kujutia muda wake alosumbuka kwako,

wakati huo nyie ndo upendo unaanza kuchanua baada ya mwanaume kukuvuwa
 
Ushafunga goli na kushinda game unashangilia, kukimbia kimbia uwanjani ya nini... wanaume tunapenda challenge tu, mimi nitakufuata hata mwaka mzima, siku ukinikubalia tu hamu inaanza kupungua. Na nisipokuchapa ndani ya wiki 2 toka umenikubali basi nshakueka kapuni nina project mpya
NB: ngono zembe inaua
Hapo kuna upendo kweli au huwa ni katamaa kanawasumbua
 
Changia mada,hii ni tabia mlio nayo wengi,unajifanya kupenda, ukishamvulia kazi imeisha anaanza na mambo mengine au anaanza kutafuta mwanamke mwingine
Kusema ukweli sijawahi kupenda labda huko baadae sijajua kwa kweli
 
Tatzio lenu nyie ndio mnabugi yaan mnaamini kumsumbuwa mwanaume ndo kumfanya akupende ,kumbe kadri unavyomsumbua ndivyo anavyopunguza upendo ,na akija kukulala ndo anakuona wakawaida zaidi na kujutia muda wake alosumbuka kwako,

wakati huo nyie ndo upendo unaanza kuchanua baada ya mwanaume kukuvuwa
Kwa hiyo unatushauri tunapotongozwa tukubali muda huo huo bila kufikiria
 
Back
Top Bottom