Hii tabia wanaume wengi wanayo

Mwanaume anaweza akawa anamfukuzia mwanamke kabla hajampata,ataonyesha anakupenda sana,atakuwa anaongea na hisia kali sana

Kabla hujamkubalia kila baada ya lisaa anakupigia sim,SMS kila wakati,zawadi hazihesabiki

Ila ukishampa mchezo tu hali hubadilika ,sim alizokuwa anapiga kila lisaa atakuwa anakupigia baada ya masaa 12,SMS zinakata,zawadi zinaisha

Na cha ajabu mwezi mzima alikuwa anakufukuzia bila kukata tamaa,spidi zile zile lakini baada ya mchezo mambo hubadilika
Je wanaume kwa nini unaonyesha kumpenda mwanamke kwa hisia kali kabla ya kukupa mchezo na akisha kupa tu kwa nini hisia zako zinapungua?

Ni kweli wanaume huwa wanatamaa tu au ni kuprend kupenda kumbe ni kuzuga mwanamke aingie 18 apate anachotaka na kupotea?

Na mwanamke hupenda zaidi pale anapokutana kimwili na mwanaume ambaye anaonekana kumpenda

Na baada ya hapo humuachia mzigo wa mawazo mwanamke baada ya kutoa mzigo

Wanaume tuambieni kwa nini huwa na tabia hii lakini sio wote ila asilimia kubwa kabla na baada ya kukutana kimwili huwa ni tofauti
Kwanza hizo zawadi mnazopokea kila siku nanyi muwe unatuonea huruma hivi hamchoki tu kupokea zawadi zawadi, na baada ya mchezo tunapunguza kwakuwa hata kwenye kula kasi ya tonge la kwanza ni tofauti na tonge la pili na kuendelea....tuvumiliane tu
 
Wakati wa kampeni ni tofauti na wakati wa kitawala. Awamu ikishaingia madalakani ni mwendo wa kutawala.
 
Pole sana Uzuri wa mwanamke ni ikiwa hujamvua.
Huenda hakupata utamu aliokuwa anakusudia.
 
Mwanaume anaweza akawa anamfukuzia mwanamke kabla hajampata,ataonyesha anakupenda sana,atakuwa anaongea na hisia kali sana

Kabla hujamkubalia kila baada ya lisaa anakupigia sim,SMS kila wakati,zawadi hazihesabiki

Ila ukishampa mchezo tu hali hubadilika ,sim alizokuwa anapiga kila lisaa atakuwa anakupigia baada ya masaa 12,SMS zinakata,zawadi zinaisha

Na cha ajabu mwezi mzima alikuwa anakufukuzia bila kukata tamaa,spidi zile zile lakini baada ya mchezo mambo hubadilika
Je wanaume kwa nini unaonyesha kumpenda mwanamke kwa hisia kali kabla ya kukupa mchezo na akisha kupa tu kwa nini hisia zako zinapungua?

Ni kweli wanaume huwa wanatamaa tu au ni kuprend kupenda kumbe ni kuzuga mwanamke aingie 18 apate anachotaka na kupotea?

Na mwanamke hupenda zaidi pale anapokutana kimwili na mwanaume ambaye anaonekana kumpenda

Na baada ya hapo humuachia mzigo wa mawazo mwanamke baada ya kutoa mzigo

Wanaume tuambieni kwa nini huwa na tabia hii lakini sio wote ila asilimia kubwa kabla na baada ya kukutana kimwili huwa ni tofauti
Kwakweli hata mimi nna tabia hii, natamani kuiacha ila ndo nashindwa, nikishakula tunda hisia zinapungua kwa kasi namuona wa kawaida
 
Kama kuna member humu anayesumbuliwa na matatizo ya aina hiyo, mwenye kuhitaji kuoa/kuolewa Ila mwenza anakuwa kama haeleweki usisite nifate pm nakuhakikishia matokeo mazuri 100% mwezi ni mrefu ndoa itakuwa ishatangazwa. (Mungu anisaidie kwa hili) mpenzi wako unayemuhitaji akuoe/kumuoa asiwe mke/mme wa mtu basi sharti ni hilo tu.
 
Demu unamusotea muda kweli na haonyeshi dalili za kukukubalia hitaji lako kwa muda..

Unakomaa wee kwa khali na mali

Unajitahidi kumuonyesha kuwa unampenda na unamhitaji pia

Anakuona wa nini/dharau nyingi..

Hapo kidume unakomaa tu ili kupata unachokiita kwake...

Unampata na unamgegeda...

Unakuta kulinga kote kule na kukuzungusha kwa muda...

Unakuta yaliyomo hayamo hata kidogo....

Mashauzi kibao kumbe ndani hamna lolote....

Hapo lazima nikukimbie tu...
 
Mwanaume anaweza akawa anamfukuzia mwanamke kabla hajampata,ataonyesha anakupenda sana,atakuwa anaongea na hisia kali sana

Kabla hujamkubalia kila baada ya lisaa anakupigia sim,SMS kila wakati,zawadi hazihesabiki

Ila ukishampa mchezo tu hali hubadilika ,sim alizokuwa anapiga kila lisaa atakuwa anakupigia baada ya masaa 12,SMS zinakata,zawadi zinaisha

Na cha ajabu mwezi mzima alikuwa anakufukuzia bila kukata tamaa,spidi zile zile lakini baada ya mchezo mambo hubadilika
Je wanaume kwa nini unaonyesha kumpenda mwanamke kwa hisia kali kabla ya kukupa mchezo na akisha kupa tu kwa nini hisia zako zinapungua?

Ni kweli wanaume huwa wanatamaa tu au ni kuprend kupenda kumbe ni kuzuga mwanamke aingie 18 apate anachotaka na kupotea?

Na mwanamke hupenda zaidi pale anapokutana kimwili na mwanaume ambaye anaonekana kumpenda

Na baada ya hapo humuachia mzigo wa mawazo mwanamke baada ya kutoa mzigo

Wanaume tuambieni kwa nini huwa na tabia hii lakini sio wote ila asilimia kubwa kabla na baada ya kukutana kimwili huwa ni tofauti
Hapo ndipo uelewe thamani ya mwanamke huwa ni wakati gani na hata uwe na uzuri kiasi gani muhimu jitunze ili uolewe hata ukichokwa upo ndani sasa ww achia hilo K na kila unaekutana nae mwishowe bwawa ufugie fangasi.
 
Mwanaume anaweza akawa anamfukuzia mwanamke kabla hajampata,ataonyesha anakupenda sana,atakuwa anaongea na hisia kali sana

Kabla hujamkubalia kila baada ya lisaa anakupigia sim,SMS kila wakati,zawadi hazihesabiki

Ila ukishampa mchezo tu hali hubadilika ,sim alizokuwa anapiga kila lisaa atakuwa anakupigia baada ya masaa 12,SMS zinakata,zawadi zinaisha

Na cha ajabu mwezi mzima alikuwa anakufukuzia bila kukata tamaa,spidi zile zile lakini baada ya mchezo mambo hubadilika
Je wanaume kwa nini unaonyesha kumpenda mwanamke kwa hisia kali kabla ya kukupa mchezo na akisha kupa tu kwa nini hisia zako zinapungua?

Ni kweli wanaume huwa wanatamaa tu au ni kuprend kupenda kumbe ni kuzuga mwanamke aingie 18 apate anachotaka na kupotea?

Na mwanamke hupenda zaidi pale anapokutana kimwili na mwanaume ambaye anaonekana kumpenda

Na baada ya hapo humuachia mzigo wa mawazo mwanamke baada ya kutoa mzigo

Wanaume tuambieni kwa nini huwa na tabia hii lakini sio wote ila asilimia kubwa kabla na baada ya kukutana kimwili huwa ni tofauti
Tatizo some of u girls are playing " hard to get " Mwezi mzima ni mwingi sana.Mi kuna demu miaka ya nyuma nilimfuafiliaga mwaka mzima..by the time ananipa mchezo nikawa tayari nimeshamtoa akilini na sikuona cha tofauti alichokuwa nacho ambacho wanawake wengine hawana...so nikampiga chini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom