Utabadilisha samaki kila aina ila samaki ni yule yule!Ukishamvua samaki na kumla, outcome yake ni kinyesi, huwezi kula kinyesi hicho pale njaa na hamu ya samaki itapokuja tena, bali unaingia chomboni kwenda kutafuta samaki ingine
Wapi lakini sio wote,ila kama kuna kamsaada kako kanahitajika na wewe unaonekana unaweza kusolve ndo unaombwa kuajibika,mbona kipindi unatongoza SMS za kuthibitishwa umepokea kias fulani bila kuombwa ulikuwa mwenyewe kwa mapenzi yako unatuma,baby kale lunch,kanunue kitu Fulani ila baada ya kupata humuoni tenaNgoja nikujibu sasa maana post ya juu nimefanya mitani. Tatizo kubwa linalowafanya wanaume watimue mbio wakishapewa ni kukimbia majukumu. Maana wanawake wa siku hizi wanawakabidhi wapenzi wao majukumu ya mume ilhali wao hawatekelezi majukumu ya mke. Mwanaume mwenye nia ya kuwa na uhusiano wa muda mrefu na wewe ukishaanza kumkabidhi majukumu hayo basi na wewe tekeleza ya mke. Vinginevyo unampoteza. Shida ya wadada wa leo unamtongoza mchana jioni kakuita mume kesho mama anaumwa au kodi imeisha. What a coincidence? Yaani matatizo hayo yalikuwa yanasubiri nikutongoze? Kama wanawake hawatabadilika basi njemba zitaendelea kupita tu. Bahati mbaya zaidi sasa hivi ukitongoza demu inakuwa kama vile umekopa hela. Maana kila siku ni mwendo wa kudaiwa..
Mlaniwe kama ndo tabia zenu!Kwani nyinyi wanawake amzijui akili zenu jinsi mnavyo ishangiliaga ccm wakati wa kampeni Kwa vidoti Vya kanga na buku 7 baada ya kampeni mnatelekezwa kama mbwa koko na sisi wanaume tunatumia mbinu za ccm kwenye jambo hilo Kwa sababu akili zenu finyu ukiona mwanaume anakuonga sana wakati wa kukutongoza usidhani anakupenda au atasana uenda itakuwa sababu ya kukutema baada ya kukupata akikumbuka taabu aliyo pata wakati anakutongoza anajua umempendea hela
Ngoja nikujibu sasa maana post ya juu nimefanya mitani. Tatizo kubwa linalowafanya wanaume watimue mbio wakishapewa ni kukimbia majukumu. Maana wanawake wa siku hizi wanawakabidhi wapenzi wao majukumu ya mume ilhali wao hawatekelezi majukumu ya mke. Mwanaume mwenye nia ya kuwa na uhusiano wa muda mrefu na wewe ukishaanza kumkabidhi majukumu hayo basi na wewe tekeleza ya mke. Vinginevyo unampoteza. Shida ya wadada wa leo unamtongoza mchana jioni kakuita mume kesho mama anaumwa au kodi imeisha. What a coincidence? Yaani matatizo hayo yalikuwa yanasubiri nikutongoze? Kama wanawake hawatabadilika basi njemba zitaendelea kupita tu. Bahati mbaya zaidi sasa hivi ukitongoza demu inakuwa kama vile umekopa hela. Maana kila siku ni mwendo wa kudaiwa..
Mkuu, Ulipotea sana.Naweza fanya ivo lakini sasa kama wewe muhusika mwenyewe unajifanya unajua kila kitu na hautaki kuelekezwa unadhani nitahangaika na wewe
Hapa kuna ukweli ndan yakeTatizo lenu hamjui ,
Mwanaume anapokufata huwa anakuwa na upendo mwingi ila kadri mnavyokuwa wasumbufu ndipo nnapopunguza upendo kwa wanaume ,
Punguzeni Usumbufu wa kufatiliana na wakati mwingine kashfa na dharau zenu kipindi mnafatiliwa ndicho kinachokuja kuwacost
Binadamu tuna mapungufu,mapungufu yake unatakiwa wewe uyatatue kwa kumwambia,samahani my dear,naomba ufanye hivi,ufanye hivikitandani kama chatu kameza mbuzi......yupo tuu kama mchimba kaburi.....ila kwa nje vemaaaa,,,,, so akili inazizima for the time.......now its your time to wake it up......but unaanza kulalamika oooohhh siku hizi sijui nini......wake me up babe!!.
first time dudu isisimame!!! i wonder!!! kusimama vizuri ndo kupi? labda mie mshamba!!... mapungufu nitataua ya wangapi bibie.....jiongeze......anyway labda umekutana na wrong choice of yours,,,,,,,labda ulijua ukimpa mdudu atakuwa wako......au alikuta coordinator icon imekuwa slammed......but sorry we just need to know kote kote😀😀Binadamu tuna mapungufu,mapungufu yake unatakiwa wewe uyatatue kwa kumwambia,samahani my dear,naomba ufanye hivi,ufanye hivi
Mbona sisi huwa tunakwambia kuwa mbona kadudu kako hakasimami vizuri,mnasema oooh Kazi ngumu,ooh sikuwa vizuri leo,na ahadi kibao,ooh siku tukikutana nakuahidi nitaperform vizuri ,mbona huwa tunavumilia hayo tunayokutana nayo 6×6
Mwanaume anaweza akawa anamfukuzia mwanamke kabla hajampata,ataonyesha anakupenda sana,atakuwa anaongea na hisia kali sana
Kabla hujamkubalia kila baada ya lisaa anakupigia sim,SMS kila wakati,zawadi hazihesabiki
Ila ukishampa mchezo tu hali hubadilika ,sim alizokuwa anapiga kila lisaa atakuwa anakupigia baada ya masaa 12,SMS zinakata,zawadi zinaisha
Na cha ajabu mwezi mzima alikuwa anakufukuzia bila kukata tamaa,spidi zile zile lakini baada ya mchezo mambo hubadilika
Je wanaume kwa nini unaonyesha kumpenda mwanamke kwa hisia kali kabla ya kukupa mchezo na akisha kupa tu kwa nini hisia zako zinapungua?
Ni kweli wanaume huwa wanatamaa tu au ni kuprend kupenda kumbe ni kuzuga mwanamke aingie 18 apate anachotaka na kupotea?
Na mwanamke hupenda zaidi pale anapokutana kimwili na mwanaume ambaye anaonekana kumpenda
Na baada ya hapo humuachia mzigo wa mawazo mwanamke baada ya kutoa mzigo
Wanaume tuambieni kwa nini huwa na tabia hii lakini sio wote ila asilimia kubwa kabla na baada ya kukutana kimwili huwa ni tofauti