Hii tabia wanaume wengi wanayo

CutLove,
Pole kwa kukwazwa, kwa taarifa yako wanaume wengi wanapomfukuzia mwanamke huwa na sababu mbalimbali, kubwa ya kwanza kwa walio wengi ni kuwa na wewe kimwili, wengi wakiridhika 'kimwili' na wewe huenda wakaenda hatua zaidi kama kujenga na kuendeleza urafiki na hatimaye ndoa na kujenga familia. Wengi hawana hisia za kimapenzi kama walizonazo wanawake bali walizonazo ni hisia za 'kimwili' na si za kimapenzi. Hata kama atatuma zawadi, sms za mara kwa mara kinachomsukuma kwanza mwanaume ni hisia za ngono au kuwa 'kimwili' na wewe. Asiporidhika/asipofurahia na wewe 'kimwili', hana sababu ya kurudi tena kwako, au kuhangaika tena wewe, hasa kama ulimpa shida wakati anakufukuzia, kwsababu anaona akilinganisha na alivyohangaika na wewe na jinsi mlivyokuwa 'kimwili' anaona hailipi.
Si kweli wanaume hawana hisia za kimapenzi. Tunazo.. ila tofauti ni jinsi gani zinakuwa activated. hisia za mwanaume zinachukua muda kuwa activated wkt za mwanamke ni dakika chache tu.

Na kuna scenario zingine inatokea umefall kwa demu siku ya kwanza mlipo kutana.

We sema at the beggining ni tamaa, laki kadiri siku zinavyokwenda ndio tunafall in love. Ila hiki kipind demu akizungua ni kibuti
 
Kuna utamu wake pale mwanaume anavyokuwa anakutafuta kwa hisia,unamsumbua kwanza,unaona je ni kweli yupo serious au lah!
Hahaha hicho ndo kinachowacostii mda mwingine...anakuigizia yuko serious kumbe maigizo...sikiliza moyo wako wa kwake u never know

Coz moyo wa mtu ni kiza kinene na wanaume have perfected the art of maigizo
Ss wewe u js gotta be smarter than him bila ye kujua

Km umemfeel mkubalie sikiliza moyo wako na km humtaki mkataee overr
 
Hahaha hicho ndo kinachowacostii mda mwingine...anakuigizia yuko serious kumbe maigizo...sikiliza moyo wako wa kwake u never know

Coz moyo wa mtu ni kiza kinene na wanaume have perfected the art of maigizo
Ss wewe u js gotta be smarter than him bila ye kujua

Km umemfeel mkubalie sikiliza moyo wako na km humtaki mkataee overr
Si ndo hivyo,unamfeel unampa akisha pata anatoweka
 
Asante kwa kuniunga mkono,wakati anakufukuzia sijui huwa wanawaza nini aisee
mawazo ni njia panda pekee, akifanikiwa kufika, safari huanza kusitasita japo inategemea amekutana na hali gani
 
cutelove , nimesoma bandiko lako, nikavaa uhusika, kwa kweli lina ukweli mkubwa, ingawa hata mimi sababu sijui kwa kweli especially kwa mchepuko.

Ila spidi ya wakati natafuta sijawahi hata kuimaintain hata kwa muda mfupi, huwa inapungua haraka sana na mara nyingine hata mahusiano kufa mapema tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom