Hii tabia wanaume wengi wanayo

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Mwanaume anaweza akawa anamfukuzia mwanamke kabla hajampata,ataonyesha anakupenda sana,atakuwa anaongea na hisia kali sana

Kabla hujamkubalia kila baada ya lisaa anakupigia sim,SMS kila wakati,zawadi hazihesabiki

Ila ukishampa mchezo tu hali hubadilika ,sim alizokuwa anapiga kila lisaa atakuwa anakupigia baada ya masaa 12,SMS zinakata,zawadi zinaisha

Na cha ajabu mwezi mzima alikuwa anakufukuzia bila kukata tamaa,spidi zile zile lakini baada ya mchezo mambo hubadilika
Je wanaume kwa nini unaonyesha kumpenda mwanamke kwa hisia kali kabla ya kukupa mchezo na akisha kupa tu kwa nini hisia zako zinapungua?

Ni kweli wanaume huwa wanatamaa tu au ni kuprend kupenda kumbe ni kuzuga mwanamke aingie 18 apate anachotaka na kupotea?

Na mwanamke hupenda zaidi pale anapokutana kimwili na mwanaume ambaye anaonekana kumpenda

Na baada ya hapo humuachia mzigo wa mawazo mwanamke baada ya kutoa mzigo

Wanaume tuambieni kwa nini huwa na tabia hii lakini sio wote ila asilimia kubwa kabla na baada ya kukutana kimwili huwa ni tofauti
 
Tatizo lenu hamjui ,
Mwanaume anapokufata huwa anakuwa na upendo mwingi ila kadri mnavyokuwa wasumbufu ndipo nnapopunguza upendo kwa wanaume ,

Punguzeni Usumbufu wa kufatiliana na wakati mwingine kashfa na dharau zenu kipindi mnafatiliwa ndicho kinachokuja kuwacost
 
Tatizo lenu hamjui ,
Mwanaume anapokufata huwa anakuwa na upendo mwingi ila kadri mnavyokuwa wasumbufu ndipo nnapopunguza upendo kwa wanaume ,

Punguzeni Usumbufu wa kufatiliana na wakati mwingine kashfa na dharau zenu kipindi mnafatiliwa ndicho kinachokuja kuwacost
Kumbe huwa hampendi,maana nilitegea baada ya kufanikiwa kumpata umpendae ndo utaongeza upendo kwa nini upungue baada ya kupata
 
Hahah unafikiri baada ya kumpa boi mechi ya kirafiki kuna haja gan ya kukutafuta tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom