Sio kisasi. Ila ndio mjue hata wanaume mnapotusumbua huwa tunajiuliza maswali mengiKwa hiyo huwa ni kisasi au
si ushaliwaUna maana gani
Kweli mkuu, huwa tunabadili mawazo usumbufu ukizidi 😀.Tatizo lenu hamjui ,
Mwanaume anapokufata huwa anakuwa na upendo mwingi ila kadri mnavyokuwa wasumbufu ndipo nnapopunguza upendo kwa wanaume ,
Punguzeni Usumbufu wa kufatiliana na wakati mwingine kashfa na dharau zenu kipindi mnafatiliwa ndicho kinachokuja kuwacost
Hahahaha...Wewe mtoa mada na kritika sijui muna shida gani kila siku mnatulaumu tu
Hapana hunumenuna??
Ngoja nikujibu sasa maana post ya juu nimefanya mitani. Tatizo kubwa linalowafanya wanaume watimue mbio wakishapewa ni kukimbia majukumu. Maana wanawake wa siku hizi wanawakabidhi wapenzi wao majukumu ya mume ilhali wao hawatekelezi majukumu ya mke. Mwanaume mwenye nia ya kuwa na uhusiano wa muda mrefu na wewe ukishaanza kumkabidhi majukumu hayo basi na wewe tekeleza ya mke. Vinginevyo unampoteza. Shida ya wadada wa leo unamtongoza mchana jioni kakuita mume kesho mama anaumwa au kodi imeisha. What a coincidence? Yaani matatizo hayo yalikuwa yanasubiri nikutongoze? Kama wanawake hawatabadilika basi njemba zitaendelea kupita tu. Bahati mbaya zaidi sasa hivi ukitongoza demu inakuwa kama vile umekopa hela. Maana kila siku ni mwendo wa kudaiwa..Mwanaume anaweza akawa anamfukuzia mwanamke kabla hajampata,ataonyesha anakupenda sana,atakuwa anaongea na hisia kali sana
Kabla hujamkubalia kila baada ya lisaa anakupigia sim,SMS kila wakati,zawadi hazihesabiki
Ila ukishampa mchezo tu hali hubadilika ,sim alizokuwa anapiga kila lisaa atakuwa anakupigia baada ya masaa 12,SMS zinakata,zawadi zinaisha
Na cha ajabu mwezi mzima alikuwa anakufukuzia bila kukata tamaa,spidi zile zile lakini baada ya mchezo mambo hubadilika
Je wanaume kwa nini unaonyesha kumpenda mwanamke kwa hisia kali kabla ya kukupa mchezo na akisha kupa tu kwa nini hisia zako zinapungua?
Ni kweli wanaume huwa wanatamaa tu au ni kuprend kupenda kumbe ni kuzuga mwanamke aingie 18 apate anachotaka na kupotea?
Na mwanamke hupenda zaidi pale anapokutana kimwili na mwanaume ambaye anaonekana kumpenda
Na baada ya hapo humuachia mzigo wa mawazo mwanamke baada ya kutoa mzigo
Wanaume tuambieni kwa nini huwa na tabia hii lakini sio wote ila asilimia kubwa kabla na baada ya kukutana kimwili huwa ni tofauti
aisee sio mchezoumeshaliwa !!!