Hii tabia wanaume wengi wanayo

Hii tabia wanaume wengi wanayo

Cha msingi kwanza wewe mwenyewe hakikisha una sifa nzuri za kukufanya mwanaume akupende na asitamani kuondoka kwako.
Kwani wakati anakuja kwangu nilikuwa na sifa zipi?
 
Najua inauma ila hata wanaume huwa wanafanya paspokujua ila ndio nature yetu
Juz nmemfatilia mrangi mmoja hata akankubalia na nkamwambia kila neno zuri ila kosa nililofanya nakawa bissy na masomo mwsho Wa siku nmemalza paper na yy akawa haelewek sasa hebu jiulze ningekuwa nshapita tusingeanza upya kama inavyonlazim
 
Mwanaume anaweza akawa anamfukuzia mwanamke kabla hajampata,ataonyesha anakupenda sana,atakuwa anaongea na hisia kali sana

Kabla hujamkubalia kila baada ya lisaa anakupigia sim,SMS kila wakati,zawadi hazihesabiki

Ila ukishampa mchezo tu hali hubadilika ,sim alizokuwa anapiga kila lisaa atakuwa anakupigia baada ya masaa 12,SMS zinakata,zawadi zinaisha

Na cha ajabu mwezi mzima alikuwa anakufukuzia bila kukata tamaa,spidi zile zile lakini baada ya mchezo mambo hubadilika
Je wanaume kwa nini unaonyesha kumpenda mwanamke kwa hisia kali kabla ya kukupa mchezo na akisha kupa tu kwa nini hisia zako zinapungua?

Ni kweli wanaume huwa wanatamaa tu au ni kuprend kupenda kumbe ni kuzuga mwanamke aingie 18 apate anachotaka na kupotea?

Na mwanamke hupenda zaidi pale anapokutana kimwili na mwanaume ambaye anaonekana kumpenda

Na baada ya hapo humuachia mzigo wa mawazo mwanamke baada ya kutoa mzigo

Wanaume tuambieni kwa nini huwa na tabia hii lakini sio wote ila asilimia kubwa kabla na baada ya kukutana kimwili huwa ni tofauti
Na nyie huwa mnatoa nini?? Ukinisumbua ujue lazima nitalipa tu!

Afu ndiyo ukumwanamke mwenyewe regular alafu umenisumbua kinoma utakoma..!
 
Najua inauma ila hata wanaume huwa wanafanya paspokujua ila ndio nature yetu
Juz nmemfatilia mrangi mmoja hata akankubalia na nkamwambia kila neno zuri ila kosa nililofanya nakawa bissy na masomo mwsho Wa siku nmemalza paper na yy akawa haelewek sasa hebu jiulze ningekuwa nshapita tusingeanza upya kama inavyonlazim
Pole! Ila hujawa bize kumtafuta
 
Kishagegedwa mtu mammaee!Yan na gegedo limeamka tayr hapa
 
Back
Top Bottom