Wenye subira wachache sanaKwa hiyo ndo kumuacha,si unamwambia bwana hivi na hivi unamfundisha angalau muendane
niseme la moyoni??[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sawa sawa ninepitauchaguzi ukishafanyika hakuna tena kampeni.
wanawake wanaamini zaidi wanachosikia tofauti na wanaume wanaamini zaidi wanachokiona
usipite huku tafadhali
Naweza fanya ivo lakini sasa kama wewe muhusika mwenyewe unajifanya unajua kila kitu na hautaki kuelekezwa unadhani nitahangaika na weweKwa nini usiijengeee? Ili iwe bora hata mwananchi wako hatakusahau kamwe!!
Breaking News;General Galadudu is back!Naweza fanya ivo lakini sasa kama wewe muhusika mwenyewe unajifanya unajua kila kitu na hautaki kuelekezwa unadhani nitahangaika na wewe
Tukisha vua unjanja huwa haupo na huwa tupo makini kuwasikiliza kwa nini usitumie hiyo nafasi kutoa maelekezo?Naweza fanya ivo lakini sasa kama wewe muhusika mwenyewe unajifanya unajua kila kitu na hautaki kuelekezwa unadhani nitahangaika na wewe
Nijue unaposema acha uchoyo na unaposeama usigawe gawe una maana gani hapo,maana unasema halafu unajipingaPunguzeni usumbufu...
Mali ya sisi sote
Acheni uchoyo
Kuwa na msimamo
Kama hujafika umri wako sahihi acha
Akikuitaji utampa baada ya ndoa
..
Mimi sipendagi usumbufu. First time nikianza kuflow ukaonesha ukakasi ujue sitarudi tena... Maisha ya kubembelezana haya ndio sina mda nao ... Ntambembeleza alienikubalia na kumuonesha mapenzi ya kweli
Kuwa msafi, nje na ndani
Usigae papuchi kama upo kwenye mashindano olympic
Anaefaaa kuchezea kippchi manyoya kila time ni mumeo katika ndoa. Ukigawa sana ujue hapo ni friend match na ndipo unapochuja
Acheni kuishi kwa kukalili .. Nikimkubali haraka nitaonekana mi maharage ya mbeya..
Acha kusoma soma story za magroup kuhusu njia za kupenda..
Mapenzi hayafundishi mapenzi huja automatic
Siyo kila mwanaume ni msaliti..
Chambua apo yapi sahihi niliyoyandika mengine nimeandika pumba..chagua yanayokufaa.
Paragraph ya mwisho... NilivyoandikaNijue unaposema acha uchoyo na unaposeama usigawe gawe una maana gani hapo,maana unasema halafu unajipinga
MkuuMwanaume anaweza akawa anamfukuzia mwanamke kabla hajampata,ataonyesha anakupenda sana,atakuwa anaongea na hisia kali sana
Kabla hujamkubalia kila baada ya lisaa anakupigia sim,SMS kila wakati,zawadi hazihesabiki
Ila ukishampa mchezo tu hali hubadilika ,sim alizokuwa anapiga kila lisaa atakuwa anakupigia baada ya masaa 12,SMS zinakata,zawadi zinaisha
Na cha ajabu mwezi mzima alikuwa anakufukuzia bila kukata tamaa,spidi zile zile lakini baada ya mchezo mambo hubadilika
Je wanaume kwa nini unaonyesha kumpenda mwanamke kwa hisia kali kabla ya kukupa mchezo na akisha kupa tu kwa nini hisia zako zinapungua?
Ni kweli wanaume huwa wanatamaa tu au ni kuprend kupenda kumbe ni kuzuga mwanamke aingie 18 apate anachotaka na kupotea?
Na mwanamke hupenda zaidi pale anapokutana kimwili na mwanaume ambaye anaonekana kumpenda
Na baada ya hapo humuachia mzigo wa mawazo mwanamke baada ya kutoa mzigo
Wanaume tuambieni kwa nini huwa na tabia hii lakini sio wote ila asilimia kubwa kabla na baada ya kukutana kimwili huwa ni tofauti