usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,100
UmeshaolewaUkipewa tulia,mshikilie ongeza upendo maradufu
UmeshaolewaUkipewa tulia,mshikilie ongeza upendo maradufu
Na Wanapata Tabu KweliWewe wanyanyase tu!
Hsia ni nini?Hawaendeshwi Na Hisia
Loh! Mungu anawaona nyieMtu akitimiza lengo lake mchezo umeisha ulitaka aendelee ili iweje
Mfano mwanaume akiwa na lengo la kukuoa hata ukimpaje ataendeleza tu mpaka akuoe akishakuoa lengo limetimia hamna cha ziada
Wengine akikufyatilia unajidai mgumu saaaana anafika kipindi anakata tamaa inabaki sasa ni kukutafuta ili akuamange tu harafu anatimua mbiyo
Kingine wanaogopa mizinga maana ni hawala tu lkn unakuawa zaidi ya ndoa mbili ukimuoa itakuwaje anaingia mitini
Loh,! Wiki mbili too fast hata kama nimekupenda,unajua naweza kukupenda sana ila nikachelewa kukubalia kukupa mwili ila nakupenda hapa huwa naangalia bidii yako katika upendo unaosema unanipenda,na wivu ninao kwako ila naangalia hali kwanza
Kama round ya kwanza hakuridhika talk,mapenzi ni kuongea na kuelekezana,hakuna anayezaliwa akiwa anajua kila kitu ,tunajifunza kutoka kwa mwingineAsipo kurudia ujue round ya kwanza ilikua hovyo. Embu mpe mautundu uone ile kasi ya 4G
Kazi kweli kweli!Kipi kinakusukuma kumpokea ilihali mikono iko nyuma... Ushauuliza moyo wako kabla ya kuumpokea?, ktk kutambua upendo wa kweli huko wapi? Je umeuuliza moyo wako kuwa unafaa na yeye anafaa kuwa wako? Au ni matamanio tu ya muda ndyo yamekupelekea kuwa naye?
Ukiwa ktk hatua ya kupenda, hatusemi moyo ndyo unapenda kama haujauuliza maswali ya kumpokea huyo.
Sasa nikuambie tuu, mwanaume sio Kila kitu aseme, mautundu tuu ndio yatamfanya Anyooshe mikono juu na kusema HALELUJAHKama round ya kwanza hakuridhika talk,mapenzi ni kuongea na kuelekezana,hakuna anayezaliwa akiwa anajua kila kitu ,tunajifunza kutoka kwa mwingine
MhhhhhSijui
Unaona[emoji16] [emoji16] [emoji16]