Hii sasa laana, uvumilivu baasi

Hii sasa laana, uvumilivu baasi

@Benteke
Sa ww baada ya kuivaa ungemwonesha
jinsi inavyokukaa.
Ili akubali usivae, kisa cha kutembea dushe linatingishika
kwa kutoshikwa vema na G-String
Nimecheka.

Naam DaMie yaani yeye anapendelea jinsi linavyokualitokelezea kwa pembeni.....sasa ebu piga picha balls na dushe zote zimetokeleza kwa pembeni....jamani kuna wanawake wengine wana shida kweli.
 
Last edited by a moderator:
Mwenzio mke wangu ana tabia ya kuvaa boksa zangu kabla cjamshtukia nlikua nashangaa zinapanuka tuu, kumbe nikienda kazini ndio anashindiaga hm

Hahahaha...afadhasli yako mkuu hata yeye anvaa zako....mimi zangu hazimtoshi kwa sababu mwembamba.
 
Khaa, we utakuwa shemeji gani sasa! Unakuja kutoa posa hata salamu kwa kutumia lugha ya dada yangu mwallu huijui?To hell, hapa hata kama baba atakukubalia kwa dada yangu lakini mimi kama kijana mkubwa wa kiume hapa home hutampata kamwe! Narudia tena, 'odalansola gete'! Hakyanani, kwanza hata mang'ombe tunayoyatakaga huna ata gadogo! Hapa labuda uninunulie gajupa gamoja ka gongo nibhurudike gidogo ndiyo nidagusamehi!
Mwenyewe!

Cc: mwallu - tafsiri
 
Last edited by a moderator:
Anza kwenda bar, nenda chooni kupunguza maji wakati kinywaji kimekolea mkakutana na wanaume wenzako na G yako ikaonekana halafu kitakachoendelea rudi jamvini utujuze mkuu, somo litakuwa limeeleweka na kwa watoto wengine.
 
Khaa, we utakuwa shemeji gani sasa! Unakuja kutoa posa hata salamu kwa kutumia lugha ya dada yangu mwallu huijui?To hell, hapa hata kama baba atakukubalia kwa dada yangu lakini mimi kama kijana mkubwa wa kiume hapa home hutampata kamwe! Narudia tena, 'odalansola gete'! Hakyanani, kwanza hata mang'ombe tunayoyatakaga huna ata gadogo! Hapa labuda uninunulie gajupa gamoja ka gongo nibhurudike gidogo ndiyo nidagusamehi!

Ahahahahahahaa
Sezae muuza ubuyu umenichekesha sana
 
Last edited by a moderator:
Khaa, we utakuwa shemeji gani sasa! Unakuja kutoa posa hata salamu kwa kutumia lugha ya dada yangu mwallu huijui?To hell, hapa hata kama baba atakukubalia kwa dada yangu lakini mimi kama kijana mkubwa wa kiume hapa home hutampata kamwe! Narudia tena, 'odalansola gete'! Hakyanani, kwanza hata mang'ombe tunayoyatakaga huna ata gadogo! Hapa labuda uninunulie gajupa gamoja ka gongo nibhurudike gidogo ndiyo nidagusamehi!

Nimezoea Mwangaluka nkwela...hiyo "ng'wa" sikuwa naifahamu.

Cc: Ntuzu na mwallu - for reconciliation.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom