Hii sasa laana, uvumilivu baasi

Hii sasa laana, uvumilivu baasi

Kha! mapenzi gani sasa haya jamani...nimevumilia sana lakini uvumilivu unanishinda...huyu binti eti anasema anapenda kuniona nikiwa nimevaa pichu zake.....sasa mbaya zaidi yeye pichu zake anavaa zile zenye kamba tu iliyopita kwa nyuma (G-string ?)...Ndugu yangu ni week sasa natembea huku mjini nikiwa nageuka geuka nyuma kama mwizi.....nahisi kama watu wananiona vile.....ngoja nikaivulie mbali bora nitembee hivyohivyo bila pichu. Wadada mnatutesa sasa na haya mapenzi ya hivi.

Duu Zoezi hilo gumu ,bora penzi life pole sana
 
Dah,mkuu nlikua na ma stress yangu lkn yameisha kabisa!!nimecheka sana sana sana!!!dah JF mwisho kabisa..
MY TAKE; Chunga sana rinda hilo,unakoelekea utalitoa kwa kuskiliza mawazo ya mwanamke.
 
Usiombe usije pata ajali itakayopelekea kukuvua suruali iliyochanika ili wakuvalishe nyingine.... ndipo wakutane na hizo kamba
 
Dah,mkuu nlikua na ma stress yangu lkn yameisha kabisa!!nimecheka sana sana sana!!!dah JF mwisho kabisa..
MY TAKE; Chunga sana rinda hilo,unakoelekea utalitoa kwa kuskiliza mawazo ya mwanamke.

heehehe...mkuu rinda linalindwa kuliko ubalozi wa marekani.
 
Sasa umeleta humu ili tufanyeje wakati mlishauriana wenyewe chumbani? Huoni kama unatoa siri ambazo sisi hatutakiwi kuzifahamu?
 
hahahahhahahahahahahaha sasa machine imekaa vizuri kweli

we acha tu ...mashine inatoka kwa pembeni kila wakati. Ila nazihumia sana balls zangu maana zinachomoza huku na kule.
 
Amegundua unachepuka kwahiyo hilo ni kukuharibia
 
Haya ndo yale mambo unakuwa kwenye mapenzi mpaka akili unashikiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom