benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,069
Kha! mapenzi gani sasa haya jamani...nimevumilia sana lakini uvumilivu unanishinda...huyu binti eti anasema anapenda kuniona nikiwa nimevaa pichu zake.....sasa mbaya zaidi yeye pichu zake anavaa zile zenye kamba tu iliyopita kwa nyuma (G-string ?)...Ndugu yangu ni week sasa natembea huku mjini nikiwa nageuka geuka nyuma kama mwizi.....nahisi kama watu wananiona vile.....ngoja nikaivulie mbali bora nitembee hivyohivyo bila pichu.
Wadada mnatutesa sasa na haya mapenzi ya hivi.
Wadada mnatutesa sasa na haya mapenzi ya hivi.