Kha! mapenzi gani sasa haya jamani...nimevumilia sana lakini uvumilivu unanishinda...huyu binti eti anasema anapenda kuniona nikiwa nimevaa pichu zake.....sasa mbaya zaidi yeye pichu zake anavaa zile zenye kamba tu iliyopita kwa nyuma (G-string ?)...Ndugu yangu ni week sasa natembea huku mjini nikiwa nageuka geuka nyuma kama mwizi.....nahisi kama watu wananiona vile.....ngoja nikaivulie mbali bora nitembee hivyohivyo bila pichu. Wadada mnatutesa sasa na haya mapenzi ya hivi.
Utazoea banaaaa jikaze tu.... siri za ndani usizianike humu. Mbona wanaume wenzio wengi tu wanavaa hizo na wamezoea bila kelele???
[MENTION]Honey Faith [/MENTION] sasa hujambo mdada...hali ndio hiyo, basi tu mnatufanyia vituko .
Kyelewoomi!!
Kwa iyo mkuu na wewe ukavaa thong,
Mbuuta.
Kha! mapenzi gani sasa haya jamani...nimevumilia sana lakini uvumilivu unanishinda...huyu binti eti anasema anapenda kuniona nikiwa nimevaa pichu zake.....sasa mbaya zaidi yeye pichu zake anavaa zile zenye kamba tu iliyopita kwa nyuma (G-string ?)...Ndugu yangu ni week sasa natembea huku mjini nikiwa nageuka geuka nyuma kama mwizi.....nahisi kama watu wananiona vile.....ngoja nikaivulie mbali bora nitembee hivyohivyo bila pichu. Wadada mnatutesa sasa na haya mapenzi ya hivi.
Isembo kabisa huyu.
sasa mimi mwembamba hainibani vizuri.....achilia mbali dushe basi mbupu zote nazo zinatoka kwa pembeni. ni balaa.
we acha tu....na nilivyo mwembamba basi hainishiki vizuri....dushe linachungulia kwa pembeni...nimelirudisha mpaka nimechoka.