Hii sasa laana, uvumilivu baasi

Hii sasa laana, uvumilivu baasi

Mkuu Huyu muuza ubuyu ni hatari kwa vichekesho ni balaa!

Ni Wa nkwela wangu Mentor panakusumbua nikusaidie?

Nkwela afadhali umejage mwanawane...saasa mimi nilikuwa ninajua 'mwangaruka' ndo salamu sasa huyu nkwela muuza ubuyu akaniambia 'ng'wangaruka' nikahisi ananitukana nikamjibu, 'mwenyewe' sasa amekasirika!

Amenikumbusha wimbo tuliimba depo:

"Iyena mwangaruka X2
Tumekuja kufanya kazi
Hatukuja kuuza sura
Iyena mwangaruka..."

NB: iyo iyena inamaanisha nini apo mwanzoni sasa!??
 
Last edited by a moderator:
Kha! mapenzi gani sasa haya jamani...nimevumilia sana lakini uvumilivu unanishinda...huyu binti eti anasema anapenda kuniona nikiwa nimevaa pichu zake.....sasa mbaya zaidi yeye pichu zake anavaa zile zenye kamba tu iliyopita kwa nyuma (G-string ?)...Ndugu yangu ni week sasa natembea huku mjini nikiwa nageuka geuka nyuma kama mwizi.....nahisi kama watu wananiona vile.....ngoja nikaivulie mbali bora nitembee hivyohivyo bila pichu. Wadada mnatutesa sasa na haya mapenzi ya hivi.

Wewe anakuvalisha g stringo kwingine wanamvalisha boxsa
 
Nkwela afadhali umejage mwanawane...saasa mimi nilikuwa ninajua 'mwangaruka' ndo salamu sasa huyu nkwela muuza ubuyu akaniambia 'ng'wangaruka' nikahisi ananitukana nikamjibu, 'mwenyewe' sasa amekasirika!

Amenikumbusha wimbo tuliimba depo:

"Iyena mwangaruka X2
Tumekuja kufanya kazi
Hatukuja kuuza sura
Iyena mwangaruka..."

NB: iyo iyena inamaanisha nini apo mwanzoni sasa!??

Nkwela Hilo neno IYENA ni kionjo tu ktk kuimba Lkn km utalitumia ktk kuongea yaani IYENA Maana kwamba imejileta!

mwallu atanisaidia kwa fasiri ingine Zaidi!
 
Last edited by a moderator:
Kha! mapenzi gani sasa haya jamani...nimevumilia sana lakini uvumilivu unanishinda...huyu binti eti anasema anapenda kuniona nikiwa nimevaa pichu zake.....sasa mbaya zaidi yeye pichu zake anavaa zile zenye kamba tu iliyopita kwa nyuma (G-string ?)...Ndugu yangu ni week sasa natembea huku mjini nikiwa nageuka geuka nyuma kama mwizi.....nahisi kama watu wananiona vile.....ngoja nikaivulie mbali bora nitembee hivyohivyo bila pichu. Wadada mnatutesa sasa na haya mapenzi ya hivi.

Yamekukuta eeeeehh!!! Amekukomesha kweli huyo mrembo. Hiyo ndiyo dawa ya kupunguza michepuko. Tulizana.

Nkwela Hilo neno IYENA ni kionjo tu ktk kuimba Lkn km utalitumia ktk kuongea yaani IYENA Maana kwamba imejileta!
mwallu atanisaidia kwa fasiri ingine Zaidi!

Uko Sawa sezae....na inaandikwa iyenha
 
Last edited by a moderator:
Gajuba gamoja ga gongo nambari wani! Mimi siogopi kaji yako kwamba udanigamata, ninunulie ndiyo nidagusamehi! Na wewe ilumbuye mwallu ingia ndani kwanza niongee naye huyu jamaa ili nijue kama anaweza kumtunza dada yangu!
Nimezoea Mwangaluka nkwela...hiyo "ng'wa" sikuwa naifahamu.

Cc: Ntuzu na mwallu - for reconciliation.
 
Last edited by a moderator:
Yaani hapa bado sijakuelewa, usiponipa kipozeo (gongo) ilumbuye mwallu utakomea kummezea mate tu kwani tulivyomlea vizuri tofauti na watoto wa siku hizi najua 'hujamuonjaga kabhisa kabhisa' kwani mpaka uje ujitambulishe masikani na usiponiweka sawa kaka yake mkubwa jua itabaki stori! Ndiyo nimekuambiaga sasa, bhuta bhabha gete!
Nkwela afadhali umejage mwanawane...saasa mimi nilikuwa ninajua 'mwangaruka' ndo salamu sasa huyu nkwela muuza ubuyu akaniambia 'ng'wangaruka' nikahisi ananitukana nikamjibu, 'mwenyewe' sasa amekasirika!

Amenikumbusha wimbo tuliimba depo:

"Iyena mwangaruka X2
Tumekuja kufanya kazi
Hatukuja kuuza sura
Iyena mwangaruka..."

NB: iyo iyena inamaanisha nini apo mwanzoni sasa!??
 
Last edited by a moderator:
Bentekeee mwenzako real benteke leo wapo uwanjani na desert foxes(algeria) japo ni majeruhi. We umekalia kuvishwa g string. Utavishwa sidiria sasa
 
Sipati picha ukiwa umevaa ka g string kanakong'aa kama latex then umepiga jeans yako halafu ukashusha ka'mlegezo!! :-O
 
Hahahahaaaaa, umenikumbusha enzi za 'makufuli' yaliyokuwa yanaitwa VIP !
Sipati picha ukiwa umevaa ka g string kanakong'aa kama latex then umepiga jeans yako halafu ukashusha ka'mlegezo!! :-O
 
Kha! mapenzi gani sasa haya jamani...nimevumilia sana lakini uvumilivu unanishinda...huyu binti eti anasema anapenda kuniona nikiwa nimevaa pichu zake.....sasa mbaya zaidi yeye pichu zake anavaa zile zenye kamba tu iliyopita kwa nyuma (G-string ?)...Ndugu yangu ni week sasa natembea huku mjini nikiwa nageuka geuka nyuma kama mwizi.....nahisi kama watu wananiona vile.....ngoja nikaivulie mbali bora nitembee hivyohivyo bila pichu. Wadada mnatutesa sasa na haya mapenzi ya hivi.

bado kidogo tu atakwambia na yeye akutie hata dole tu kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom