Mahaba nitindue hayo!!!
Endelea tu kuivaa kamba ikutekenye kunako!!!
Kha! mapenzi gani sasa haya jamani...nimevumilia sana lakini uvumilivu unanishinda...huyu binti eti anasema anapenda kuniona nikiwa nimevaa pichu zake.....sasa mbaya zaidi yeye pichu zake anavaa zile zenye kamba tu iliyopita kwa nyuma (G-string ?)...Ndugu yangu ni week sasa natembea huku mjini nikiwa nageuka geuka nyuma kama mwizi.....nahisi kama watu wananiona vile.....ngoja nikaivulie mbali bora nitembee hivyohivyo bila pichu. Wadada mnatutesa sasa na haya mapenzi ya hivi.
Unakoelekea siko benteke...!
Usicheze na mke wangu mwallu. She is someone I highly treasure and value. #be-thee-warned
we acha tu....na nilivyo mwembamba basi hainishiki vizuri....dushe linachungulia kwa pembeni...nimelirudisha mpaka nimechoka.
Nsha tundika daruga, hamna marefu yasiyo na ncha
Nsha tundika daruga, hamna marefu yasiyo na ncha
Ha ha ha ha hapa wewe ni mhuni yan thanx 4 makin my day brother[/QUOTE]
Kumbe jina langu limekaa ki brother brother!!!
Hahahahaaaa, kama siyo safari ya kuelekea kuwa punga hii, sijui?!