Kha! mapenzi gani sasa haya jamani...nimevumilia sana lakini uvumilivu unanishinda...huyu binti eti anasema anapenda kuniona nikiwa nimevaa pichu zake.....sasa mbaya zaidi yeye pichu zake anavaa zile zenye kamba tu iliyopita kwa nyuma (G-string ?)...Ndugu yangu ni week sasa natembea huku mjini nikiwa nageuka geuka nyuma kama mwizi.....nahisi kama watu wananiona vile.....ngoja nikaivulie mbali bora nitembee hivyohivyo bila pichu. Wadada mnatutesa sasa na haya mapenzi ya hivi.
Gobela lolo ngalo! Gashinaga ole nchilochilo ko lwa nguno ya sumile Yako ya bha miso ghaza?!!
Cc: mwallu
Hahahahahahahahaaaaaaa, nabhona onichima gimelo! Emaga ize amajogoli aguduke namajisuguma ako!
Yooh! Kwani gakonikubula endele yane?!!
Yani onene na nakokandegeja gete echa kaya duh!
anakutayarisha ili uje kuwa shogakha! Mapenzi gani sasa haya jamani...nimevumilia sana lakini uvumilivu unanishinda...huyu binti eti anasema anapenda kuniona nikiwa nimevaa pichu zake.....sasa mbaya zaidi yeye pichu zake anavaa zile zenye kamba tu iliyopita kwa nyuma (g-string ?)...ndugu yangu ni week sasa natembea huku mjini nikiwa nageuka geuka nyuma kama mwizi.....nahisi kama watu wananiona vile.....ngoja nikaivulie mbali bora nitembee hivyohivyo bila pichu.
Wadada mnatutesa sasa na haya mapenzi ya hivi.