shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,357
Nilikuwa nawaza hivi ningekuwa single roho yangu isingekuwa inamuwaza nimpendae,ningekuwa single nisingewaza yupo na nani maana nisingemjua,ningekuwa single nisingeumia kutokumjulia hali kila aamkapo au akilala ,ningekuwa single sisingewaza kuzungumza chochote bila kumkwaza pengine pia nisingewaza ngono,ningekuwa single...............
Kuwa huru kuna raha yake ila mapenzi nayo yana umuhimu wake.
Hivi mapenzi ni raha au karaha?
Kuwa huru kuna raha yake ila mapenzi nayo yana umuhimu wake.
Hivi mapenzi ni raha au karaha?