Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,439
- Thread starter
- #261
Shukrani mkuu kwa appreciation yako.Nimeijua Rwanda kupitia hii thread yako. Asante.
kabisa kafanya kazi nzuriHasa alipong'oa kifaa...ametuwakilisha vzr
ugali nyama.= ugali kongoro haaaaaHabari wandugu!
Leo ndio narudi Tanzania nikitokea Rwanda kwa ajili ya likizo ya mapumziko kiukweli kuna mengi niliyoyaona na kujifunza nikiwa Rwanda ila nafurahi maana mengi ni mazuri.
Suala la usalama hilo liko wazi kwa kila mmoja Rwanda ndio nchi pekee ambayo nimetembea usiku mnene na Polisi akawa ananifuata nyuma mpaka nikaingia lodge ndo akarudi bila hata kuniharass wala kunisemesha. Mfumo wao wa doria ni hatari sana. Wanakuwa askari kadhaa kwenye Gari then wengine wanatembea kwa miguu wakiachiana hatua kama tano tano single file. Ajabu guest niliyofikia kulikuwa na makahaba wengi jirani yake pamoja na kapub ila polisi wanawalinda kwa adabu na nidhamu kubwa.
Rwanda ndio nchi pekee ambayo pombe yake maarufu Primus inaujazo mkubwa sana hivyo ni kawaida sana mtu akakusalimia na akapiga funda kadhaa then akaondoka, nimeona wapenzi wengi wakishare liprimus limoja na hakuna shida. Hii imeongeza umoja na upendo miongoni mwao yaani Rwanda kuna love mpaka unaogopa sijui sababu wana makovu ya chuki na vurugu ndo maana wanaheshimu sana amani. Upendo na kuheshimiana pia kuvumiliana maana nimetembea kwenye bar na pub sijakuta watu wakirushiana maneno makali au kupigana hapana! Its peace!
Rwanda ndo nchi pekee ambayo salam ya hi! Jibu lake ni fine!
Rwanda ndio nchi pekee ambayo mji mkuu kila mtu anamjua mtu Fulani. Watu almost wote wanajuana mji mkuu.
Rwanda ndio nchi pekee ambayo idadi kubwa ya raia anavaa nguo zinazofanana na za kijeshi na hakuna noma iwe kofia pekee, au suruali, au shati au hata buti na hakuna police wala mjeshi anaehoji wazee wa usalama hawana maneno wao ni ulinzi tu kwa kwenda mbele.Kuna time nlikutana na jamaa mchana kuanzia cap mpaka boot ni la jeshi afu jamaa anauza vocha stendi ya bus. Ahahahaha.
Rwanda ndio nchi pekee ambapo Polisi na jeshi wanashika doria za usiku na mchana.
Rwanda ndo nchi pekee ambapo polisi wana aina moja ya uniform kwa askari wote.mf hapa bongo yaani FFU, askari wa kawaida, traffic, wote wawe na sare moja.
Rwanda kigali ndio mji mkuu pekee ambao sijaona mfuko wa plastic wala karatasi imezagaa barabarani.
Rwanda ndo mji pekee east Africa ambapo diamond yuko celebrated than local artist wa pale. Wale wasiojua kiingereza pale Rwanda wanaamini diamond platinum ni neno la kiswahili. Nimeenda club kadhaa na kila club ilipiga nyimbo za diamond zaidi ya nne tofauti na wasanii wengine. Ilifika time nikang'oa mpaka demu mkali wa kitutsi kwenye club moja VIP kwa kiki la kwamba diamond ni jirani yangu pale Dar ilhali ukweli nakaa Mwanza, nyegezi.
Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo wimbo wa pressure wa afsa kazinja na banana upo kwenye chati na unapigwa kwenye baadhi ya bar na pub hapa mjni Kigali.
Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo magodoro yake yamewekewa "plastic cover" sijui hata ni kwa sababu gani, mtanisaidia tafadhali wandugu.
Rwanda Kigali ndo mji pekee ambao nimekutana na mwanamke na nikamwambia wewe ni mrembo saana afu akajibu "urakoze" afu akaunga stori nyingine like its normal then that's it. Nahisi Washaambiwa saana we ni mrembo ndo maana hawashangai tena kuambiwa warembo. Daamn!
Rwanda ndo mji pekee ambao ukiagiza ugali na nyama utaletewa ugali na kongoro...ahahaha!
Kwa ujumla sijajutia likizo yangu Rwanda.
Mkuu namba 3 jamaa yupo sahihi hasa kwa mkoa wa Kagera. Guest karibu zote zina plastic cover.1: atleas someone knows somebody in the city Kigali.
2: labda uniambie wengine wana sare gani maana Mimi nliwaona wa blue mwanzo mpaka mwisho wa safari yangu.
3: Rwanda pekee ndo wanastyle ya namna hiyo ya kuweka cover ya plastic godoro zima huko kwingine wanatandika kakipande kaplastic pale juu kama kale ka watoto kwa huku Bongo.
Ila nimekukubali yani ndani ya siku mbili tu umeweza kunasa mambo yote hayo!! Alafu kwa nini hujagongewa muhuri wa Exit wakatu unarudi!
Hazikutoshi sio? FYI never quote me any more, i don't need your useless advice and mind your business please.We shida yako ni hipi! Au una bifu na mleta mada - you have a choice aidha ukubaliane na stori yake au uipuuzie lakini siyo kutaka ku derail mada.
Achana na mpiga debe konda tu hayupo, then dereva anavaa vinakshi kama vya mapilot begani anavyoringa utadhani yeye ndo anarusha Rwandair.Kuna wapiga debe na wezi katika vituo vya usafiri wa Umma?
Haaaaa kama ni hivyo basi wabongo tunaonekana lulu yaan ukiongea Swahili ya dasilama utaitwa muwekezaji !!!!Ahahahhaa!! We jamaa ni mchizi. Eti koki zilizopasuka.
Ukiongea kiswahili tu pahali popote lazma ukapture attention ya watoto. Tena kiswahili ya Dar na sio ya Congo. Wanasema kiswahili ya Dar ni tamu zaidi ya ile ya Congo. Ukiwa unajua na ngeli wenyewe wanaamini utakuwa muwekezaji hivyo papuchi za kitusi zitakulaza na viatu.
Kweli Karibia Na Mitaa Flani Hivi Pale Ccm Barenga GestKibondo pale nyuma ya jengo CCM Mkoa au kule chini stendi?
Aah
unajua huu uzi wakijanja bt pia wakikuda sana,unavichochezi vya ngono..
kweli aiseeAlaaa kumbe! Sasa ndo nafunguka maana that night ilikuwa ni maji tu kama vita vya maji maji..
I was a plumber that day maana nlikuwa na sababu mbili muhimu moja lilikuwa ni jukumu la kitaifa kuthibitisha kwamba Bongo tunazijua shoo pia. Nyingine ilikuwa mtoto alikuwa mkali kwa hiyo niliona kama golden chance kwa maantiki hizo hapo juu niliazimika kuwa fundi bomba makini for a while maana maji yalikuwa yanatoka uncontrorablly.
Ilikuwa ndo fantasy yangu kugegeda show yenye maji...nlikua naenjoy saana fundi bomba nikiyatekenya maji anavyokakamaa na kurusha kama water fountain.aaha!
Swali la kizushi kwanini watu wengi wanamiliki maji saana kule kwa Kagame?
Now I know...Kumbe plastic cover ndo kazi yake.
Jamaa kanikumbusha mbali sana...kampala nilikutana na hayo mambo , ni nouma aisee bablaiAfunguke hayo maji ya nn
usipime yaani.Kumbe kuna mengi ya kujifunza huko Rwanda!Kwa kuongezea tu:
Kigali ndio mji pekee ambapo Askari polisi/wanajeshi wanapokua patrol iwe ya mchana au usiku wanajihami kwa silaha na radio call kama wako vitani frontline tena porini. Na hawakai chini au kwenye viti.
Gisenyi-Rwanda ni mji pekee duniani ukiongea kiswahili cha kitanzania watu hudhani wewe ni mwanajeshi. Na kama wewe unapenda mademu unawapata kirahisi bila kutumia gharama kubwa.
Kigali-Rwanda ni jiji pekee Africa ambapo mwizi hawe kuiba na kukimbia zaidi ya mita 100 bila kukamatwa akiwa hai au maiti.
Rwanda ni nchi pekee dunianiani ambapo raia wote wa nchi za Africa wanaingia bila viza.
Rwanda ni nchi pekee africa ambapo sheria za nchi zinaruhusu kila mwanandoa kumiliki mali alizochuma kabla ya ndoa na iwapo wataachana mali hizo mali hazimuhusu mwenza wake.
10,000 ya kiganda ama ya Tz?Tuliendaga Uganda tukatumia 10,000 bar tukalewa aditukachanganyikiwa