Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,439
- Thread starter
- #121
Fuatilia sredi yangu vizuri mpaka nimejipachika jina la fundi bomba rasmi Leo. Ilikuwa kama water fountain za ulaya zinazorushaga maji ila sikujua wala kujali saana maana tulijifunika shuka langu la kimasahi nililonunua pale kahama baada ya shughuli ya kitaifa kusababisha koki kupasuka na hivyo maji kuleta adha kwa wakazi.Kwa hilo hakumtendea haki demu na wala hakutuwakilisha vizuri wa TZ...plastic cover ingekuwa tapwa tapwa kwa maji km ungegegeda kisawa sawa!
Kila kiukweli mwanzoni sikujua kama maji ndo reason kubwa kucover godoro nilihisi labda jamaa wamejaradia ili yazidi kuwa mapya and still bado nilikua naamini kuna sababu nyingine na hata sikumuuluza mrembo maana she is so shy.
Fundi bomba!