ILISACHA
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 2,184
- 4,043
Dhuuu umenikumbuha mbali sana, Rwanda ndo nchi pekee niliona abiria wanapanda public transport kwa foleni
Rwanda ndo nchi pekee niliona ukipanda boda unapewa tissue flani hivi unaweka kichwani the unavaa ile helmet
Rwanda ndo nchi pekee nilishudia beki 3 wa kule ni vijana tena kabila la tusi
Rwanda ndo nchi pekee nilishangaa ukiwa na mahusiano na dem kwao lazima utambulike na karibia jiji lote wanawatambua sio zile mambo za huku kumiliki dem 3 (Kimara, Tabata Mbezi ukienda Mwz unao 2 BIG NO)
Rwanda ndo nchi pekee ukitongoza dem kuja umgonge sio leo wala kesho mpaka utambuliwe vizuri kwao na we historia yako ifahamike kwao tofauti na hapo kachukue wa kujiuza club
Rwanda ndo nchi pekee nilishangaa mke ana sauti na mamlaka kuliko mume
Rwanda pekee ndo niliacha gari nikapanda basi kwenda kulipa fine ya gari traffic anachukua bank slip tu
Kigari pekee ndo mji sijaona vitu wala bidhaa feki (na sijaona toyota noah na pikipiki sanlg)
Kigali pekee ndo mji mzuri na msafi kwa East Africa japo mji mdogo kwa ukubwa tofauti na Dar na Nairobi
Mambo ni mengi (hasa jumba la makumbusho) muda ni mchache