Hii pekee ipo Rwanda

Hii pekee ipo Rwanda

1: atleas someone knows somebody in the city Kigali.

2: labda uniambie wengine wana sare gani maana Mimi nliwaona wa blue mwanzo mpaka mwisho wa safari yangu.

3: Rwanda pekee ndo wanastyle ya namna hiyo ya kuweka cover ya plastic godoro zima huko kwingine wanatandika kakipande kaplastic pale juu kama kale ka watoto kwa huku Bongo.

Kaka iko hivi, Rwanda SIO NCHI PEKEE ambayo Askari Wake (police, fieldforce nk) wanavaa nguo zinazofanana, DRC na Burundi Askari wote wanavaa Uniform za Blue kama hizo za Rwanda, utamtofautisha trafic kwa kikoti cha reflector tu,

Kampala kuna cover Kabisa
 
Kwa kuongezea tu:
Kigali ndio mji pekee ambapo Askari polisi/wanajeshi wanapokua patrol iwe ya mchana au usiku wanajihami kwa silaha na radio call kama wako vitani frontline tena porini. Na hawakai chini au kwenye viti.

Gisenyi-Rwanda ni mji pekee duniani ukiongea kiswahili cha kitanzania watu hudhani wewe ni mwanajeshi. Na kama wewe unapenda mademu unawapata kirahisi bila kutumia gharama kubwa.

Kigali-Rwanda ni jiji pekee Africa ambapo mwizi hawe kuiba na kukimbia zaidi ya mita 100 bila kukamatwa akiwa hai au maiti.

Rwanda ni nchi pekee dunianiani ambapo raia wote wa nchi za Africa wanaingia bila viza.

Rwanda ni nchi pekee africa ambapo sheria za nchi zinaruhusu kila mwanandoa kumiliki mali alizochuma kabla ya ndoa na iwapo wataachana mali hizo mali hazimuhusu mwenza wake.
 
Aah
Habari wandugu!

Leo ndio narudi tanzania nikitokea Rwanda kwa ajili ya likizo ya mapumziko kiukweli kuna mengi niliyoyaona na kujifunza nikiwa Rwanda ila nafurahi maana mengi ni mazuri.

Suala la usalama hilo liko wazi kwa kila mmoja Rwanda ndio nchi pekee ambayo nimetembea usiku mnene na polisi akawa ananifuata nyuma mpaka nikaingia lodge ndo akarudi bila hata kuniharass wala kunisemesha. Mfumo wao wa doria ni hatari saana. Wanakuwa askari kadhaa kwenye Gari then wengine wanatembea kwa miguu wakiachiana hatua kama tano tano single file. Ajabu guest niliyofikia kulikuwa na makahaba wengi jirani yake pamoja ba kapub ila polisi wanawalinda kwa adabu na nidhamu kubwa.

Rwanda ndio nchi pekee ambayo pombe yake maarufu Primus inaujazo mkubwa sana hivyo ni kawaida sana mtu akakusalimia na akapiga funda kadhaa then akaondoka, nimeona wapenzi wengi wakishare liprimus limoja na hakuna shida. Hii imeongeza umoja na upendo miongoni mwao yaani Rwanda kuna love mpaka unaogopa sijui sababu wana makovu ya chuki na vurugu ndo maana wanaheshimu sana amani. Upendo na kuheshimiana pia kuvumiliana maana nimetembea kwenye bar na pub sijakuta watu wakirushiana maneno makali au kupigana hapana! Its peace!

Rwanda ndo nchi pekee ambayo salam ya hi! Jibu lake ni fine!

Rwanda ndio nchi pekee ambayo mji mkuu kila mtu anamjua mtu Fulani. Watu almost wote wanajuana mji mkuu.

Rwanda ndio nchi pekee ambayo kila raia anavaa nguo zinazofanana na za kijeshi na hakuna noma. Kuna time nlikutana na jamaa mchana kuanzia cap mpaka boot ni la jeshi afu jamaa anauza vocha stendi ya bus. Ahahahaha.

Rwanda ndio nchi pekee ambapo Polisi na jeshi wanashika doria za usiku na mchana.

Rwanda ndo nchi pekee ambapo polisi wana aina moja ya uniform kwa askari wote.mf hapa bongo yaani FFU, askari wa kawaida, traffic, wote wawe na sare moja.

Rwanda kigali ndio mji mkuu pekee ambao sijaona mfuko wa plastic wala karatasi imezagaa barabarani.

Rwanda ndo mji pekee east Africa ambapo diamond yuko celebrated than local artist wa pale. Wale wasiojua kiingereza pale Rwanda wanaamini diamond platinum ni neno la kiswahili. Nimeenda club kadhaa na kila club ilipiga nyimbo za diamond zaidi ya nne tofauti na wasanii wengine. Ilifika time nikang'oa mpaka demu mkali wa kitutsi kwenye club moja VIP kwa kiki la kwamba diamond ni jirani yangu pale Dar ilhali ukweli nakaa Mwanza, nyegezi.

Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo wimbo wa pressure wa afsa kazinja na banana upo kwenye chati na unapigwa kwenye baadhi ya bar na pub hapa mjni Kigali.

Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo magodoro yake yamewekewa "plastic cover" sijui hata ni kwa sababu gani..mtanisaidia tafadhali wandugu.

Rwanda kigali ndo mji pekee ambao nimekutana na mwanamke na nikamwambia wewe ni mrembo saana afu akajibu "urakoze" afu akaunga stori nyingine like its normal then that's it. Nahisi Washaambiwa saana we ni mrembo ndo maana hawashangai tena kuambiwa warembo. Daamn!

Rwanda ndo mji pekee ambao ukiagiza ugali na nyama utaletewa ugali na kongoro...ahahaha!

Kwa ujumla sijajutia likizo yangu Rwanda.
unajua huu uzi wakijanja bt pia wakikuda sana,unavichochezi vya ngono..
 
Hongera sana mkuu!! Vipi lakini hujasema kama ulifanikiwa kulala! na totos
 
POINT TO STICK: HUYO MUUZA VOCHA NI ASKARI KIKUKWELI NA SI MUUZA VOCHA KAMA ULIVYOMCHUKULIA
KUHUSU MAGODORO KUWEKEWA PLASTICK COVER KAMUULIZE JIRANI YAKO MAMA KOKU ATAKUAMBIA.
MAMBO MENGINE UKO SAHIHI SECURITY YA RWANDA NI 100% STAND-BY HUPENYI NGOME ILE UKAHARIBU HALAFU UKATOKA SALAMA NG'OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO. NIMEKAA PALE MWAKA JANA ILA SIKUPENDA HARRASSMENT WANAYOFANYIWA WAFANYA BIASHARA WADOGO NI SHIIIIIIDA ANGALIA SOKONI JIONI IKIFIKA UTALIA.
 
Karibu sana Mkuu. Yote ulo ya nena yana kaukweli isipokuwa hilo la raia kuvaa nguo za kijeshi. Nadhani huyo alikuwa Mjeshi pia.

Ongezea hizi mbili:

Ukisema wewe ni Mtz unafuatiliwa zaidi kuliko Mganda.

Askari polisi wako mitaani na field radio calls kama vile ni kwenye battle field.
Ni kweli mitaani kote kunakuwa na askari kila baada ya mita tano? Basi Rwanda itakuwa na askari wengi sana.
 
Kaka kuna point umeziongezea chumvi
1: Sio kweli bwana, haiwezekani mtu kujua watu wa mji Mzima, kama utawajua wachache basi kila mji uko hivyo

2: sio kweli, DRC na Burundi pia Askari wote wanavaa uniform za aina moja

3: sio kweli, hata Mji wa Kampala, Bukoba, Ngara hali iko hivyohivyo, Guest nyingi Magodoro ya Plastic Cover
Hiyo namba 3 umeshaambiwa kuwa hao wote koki zao pale kwenye antena zinafungulia bila uchoyo.
 
Habari wandugu!

Leo ndio narudi tanzania nikitokea Rwanda kwa ajili ya likizo ya mapumziko kiukweli kuna mengi niliyoyaona na kujifunza nikiwa Rwanda ila nafurahi maana mengi ni mazuri.

1. Suala la usalama hilo liko wazi kwa kila mmoja Rwanda ndio nchi pekee ambayo nimetembea usiku mnene na polisi akawa ananifuata nyuma mpaka nikaingia lodge ndo akarudi bila hata kuniharass wala kunisemesha. Mfumo wao wa doria ni hatari saana. Wanakuwa askari kadhaa kwenye Gari then wengine wanatembea kwa miguu wakiachiana hatua kama tano tano single file. Ajabu guest niliyofikia kulikuwa na makahaba wengi jirani yake pamoja ba kapub ila polisi wanawalinda kwa adabu na nidhamu kubwa.

2. Rwanda ndio nchi pekee ambayo mji mkuu kila mtu anamjua mtu Fulani. Watu almost wote wanajuana mji mkuu.

3. Rwanda ndio nchi pekee ambayo kila raia anavaa nguo zinazofanana na za kijeshi na hakuna noma.

4. Rwanda kigali ndio mji mkuu pekee ambao sijaona mfuko wa plastic wala karatasi imezagaa barabarani.

5. Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo wimbo wa pressure wa afsa kazinja na banana upo kwenye chati na unapigwa kwenye baadhi ya bar na pub hapa mjni Kigali.

6. Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo magodoro yake yamewekewa "plastic cover" sijui hata ni kwa sababu gani..mtanisaidia tafadhali wandugu.

7. Rwanda kigali ndo mji pekee ambao nimekutana na mwanamke na nikamwambia wewe ni mrembo saana afu akajibu "urakoze" afu akaunga stori nyingine like its normal then that's it. Nahisi Washaambiwa saana we ni mrembo ndo maana hawashangai tena kuambiwa warembo. Daamn!

.
1. Rwanda itakuwa na askari wengi sana.

2. Yaelekea Kigali ina wakazi wachache sana. Kila mtu anamjua mtu fulani (kila mtu)?

3. Unamaanisha nini kusema kila raia anavaa nguo za kijeshi? Sasa nini kinatofautisha raia mvaa sare za jeshi na mwanajeshi halisi?

4. Hapa labda ungesema Kwa East Africa au Africa, lakini nina hakika ipo miji mingine duniani yenye sifa hii. Nimekaa mji mmoja US miezi zaidi ya sita bila kuona mfuko wa nailoni, karatasi, ganda la pipi, biskuti wala uchafu wowote barabarani au kwenye viunga

5. Duh! Wimbo wa Pressure wa mwaka 2007? Hawa jamaa walichelewa wapi kuusikia na kuusahau?

6. Mmh! Hii ngoja waje waseme wenyewe akina mchambawima1 na murutongore

7. Sasa ndugu ulitaka akuambieje? Au ndio ile tumeshazoea jibu la "wala, mimi wa kawaida sana, kwani haujaona warembo zaidi yangu..." ili upate pa kuendelezea?
 
Habari wandugu!

Leo ndio narudi tanzania nikitokea Rwanda kwa ajili ya likizo ya mapumziko kiukweli kuna mengi niliyoyaona na kujifunza nikiwa Rwanda ila nafurahi maana mengi ni mazuri.

Suala la usalama hilo liko wazi kwa kila mmoja Rwanda ndio nchi pekee ambayo nimetembea usiku mnene na polisi akawa ananifuata nyuma mpaka nikaingia lodge ndo akarudi bila hata kuniharass wala kunisemesha. Mfumo wao wa doria ni hatari saana. Wanakuwa askari kadhaa kwenye Gari then wengine wanatembea kwa miguu wakiachiana hatua kama tano tano single file. Ajabu guest niliyofikia kulikuwa na makahaba wengi jirani yake pamoja ba kapub ila polisi wanawalinda kwa adabu na nidhamu kubwa.

Rwanda ndio nchi pekee ambayo pombe yake maarufu Primus inaujazo mkubwa sana hivyo ni kawaida sana mtu akakusalimia na akapiga funda kadhaa then akaondoka, nimeona wapenzi wengi wakishare liprimus limoja na hakuna shida. Hii imeongeza umoja na upendo miongoni mwao yaani Rwanda kuna love mpaka unaogopa sijui sababu wana makovu ya chuki na vurugu ndo maana wanaheshimu sana amani. Upendo na kuheshimiana pia kuvumiliana maana nimetembea kwenye bar na pub sijakuta watu wakirushiana maneno makali au kupigana hapana! Its peace!

Rwanda ndo nchi pekee ambayo salam ya hi! Jibu lake ni fine!

Rwanda ndio nchi pekee ambayo mji mkuu kila mtu anamjua mtu Fulani. Watu almost wote wanajuana mji mkuu.

Rwanda ndio nchi pekee ambayo kila raia anavaa nguo zinazofanana na za kijeshi na hakuna noma. Kuna time nlikutana na jamaa mchana kuanzia cap mpaka boot ni la jeshi afu jamaa anauza vocha stendi ya bus. Ahahahaha.

Rwanda ndio nchi pekee ambapo Polisi na jeshi wanashika doria za usiku na mchana.

Rwanda ndo nchi pekee ambapo polisi wana aina moja ya uniform kwa askari wote.mf hapa bongo yaani FFU, askari wa kawaida, traffic, wote wawe na sare moja.

Rwanda kigali ndio mji mkuu pekee ambao sijaona mfuko wa plastic wala karatasi imezagaa barabarani.

Rwanda ndo mji pekee east Africa ambapo diamond yuko celebrated than local artist wa pale. Wale wasiojua kiingereza pale Rwanda wanaamini diamond platinum ni neno la kiswahili. Nimeenda club kadhaa na kila club ilipiga nyimbo za diamond zaidi ya nne tofauti na wasanii wengine. Ilifika time nikang'oa mpaka demu mkali wa kitutsi kwenye club moja VIP kwa kiki la kwamba diamond ni jirani yangu pale Dar ilhali ukweli nakaa Mwanza, nyegezi.

Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo wimbo wa pressure wa afsa kazinja na banana upo kwenye chati na unapigwa kwenye baadhi ya bar na pub hapa mjni Kigali.

Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo magodoro yake yamewekewa "plastic cover" sijui hata ni kwa sababu gani..mtanisaidia tafadhali wandugu.

Rwanda kigali ndo mji pekee ambao nimekutana na mwanamke na nikamwambia wewe ni mrembo saana afu akajibu "urakoze" afu akaunga stori nyingine like its normal then that's it. Nahisi Washaambiwa saana we ni mrembo ndo maana hawashangai tena kuambiwa warembo. Daamn!

Rwanda ndo mji pekee ambao ukiagiza ugali na nyama utaletewa ugali na kongoro...ahahaha!

Kwa ujumla sijajutia likizo yangu Rwanda.
Safi sana
 
Mpwa nauri plz na garama zipo?nijichange nisepe
Nauli mbona nyeupe tu! Elfu 80,000/= hadi 85,000/= maana naona hakuna nauli kamili isipokuwa makubaliano kwa basi la taqwa au Classic kwa nauli hii moja kwa moja hadi mjini Kigali ukitokea Dar es salaam. Safari na hawa jamaa ni bonge la adventure kwani kwanza unapandishwa la kwenda Bujumbura then wanakushushia benaco au Rusumo ambapo tena unapanda Matunda mpaka Rwanda kigali.

Safari haiboi saana maana unabadilisha usafiri moja hadi mwingine kwa tiketi ile ile ya awali mpaka mwisho Kigali.
 
Mleta mada umenikumbusha kwamba hawa jamaa hawajui kupika ila umenizidi ujanja mi niliogopa kuopoa mtutsi pale club kwa sababu askari wanakuwa wamevalia kivita kwenye maegesho ya magari na milangoni ila wenyeji wanakokota mitetea mbele yao bila woga, sasa umenipa mwanga ngoja tusubiri December inakuja.
 
Back
Top Bottom