1. Rwanda itakuwa na askari wengi sana.
2. Yaelekea Kigali ina wakazi wachache sana. Kila mtu anamjua mtu fulani (kila mtu)?
3. Unamaanisha nini kusema
kila raia anavaa nguo za kijeshi? Sasa nini kinatofautisha raia mvaa sare za jeshi na mwanajeshi halisi?
4. Hapa labda ungesema Kwa East Africa au Africa, lakini nina hakika ipo miji mingine duniani yenye sifa hii. Nimekaa mji mmoja US miezi zaidi ya sita bila kuona mfuko wa nailoni, karatasi, ganda la pipi, biskuti wala uchafu wowote barabarani au kwenye viunga
5. Duh! Wimbo wa Pressure wa mwaka 2007? Hawa jamaa walichelewa wapi kuusikia na kuusahau?
6. Mmh! Hii ngoja waje waseme wenyewe akina
mchambawima1 na
murutongore
7. Sasa ndugu ulitaka akuambieje? Au ndio ile tumeshazoea jibu la "wala, mimi wa kawaida sana, kwani haujaona warembo zaidi yangu..." ili upate pa kuendelezea?