TZ yetu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 375
- 198
Aiseee! Kweli Rwanda patamu.Ule ulinzi si wa kawaida mpwa, ukiwa mgeni lazima ufahamu uvurugwe na confidence itikisike kiaina maana ni zaidi ya askari walioko frontline kule Cambodia kwa jinsi walivyojicamouflage na kizuri ukiwaona tu sio askari polisi wala askari jeshi wote wana physique na body za kiaskari kiukweli sijaona askari mwenye kitambi kwa muda wangu wote Rwanda na pia idadi kubwa ya askari ni vijana kati ya miaka 18-33 yrs cha kustaajabisha hawakai kwa muda wote wawapo doria au lindo.
Ukiwajua hawana shida maana huwa hawahoji wala kuharass mtu wao ni kuhakikisha wewe na huyo mchuchu mpo salama. Ni kama masanamu vile.